Tusitamani wenye nacho wafilisike

Tusitamani wenye nacho wafilisike

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,303
Reaction score
17,579
Wenye nacho hata kwa kukwapua tuombe waendelee kuwa nacho vinginevyo sisi tusionacho hatuweza kulisaidia taifa.
Baada ya sisi tusiokuwa nacho tukilipwa ujira mbuzi na wenye nacho ndio tunapata uwezo wa kuilipa serikali kodi mbalimbali.

Serikali hainunui mazao ya shambani wala ya wanyama na uvuvi, hivyo watu binafsi wenye nacho ndo wanunuzi wakubwa wa mazao nchini. Nimelima mahindi na mbaazi lakini nimekosa soko
 
Mzee wa magogoni alisema atawashusha wenyenacho tuwe sawa wote hii imekaeje
 
Ha
mkuu pole sanq,,,mimi nalima maharage mwez 12 huu
Hata mm nitalima maharage tu, maana mahitaji yake yalikuwepo, yapo na yatakuwepo hapahapa nchini. Mbaazi, choroko, fiwi, nk soko lake linategemea uhusiano wetu na mataifa mengine duniani.
 
Back
Top Bottom