Bodaboda Kigoma na changamoto wanazokutana nazo

Bodaboda Kigoma na changamoto wanazokutana nazo

Joined
Oct 9, 2017
Posts
21
Reaction score
7
Hapa kigoma vijana wamejiajiri kupitia bodaboda na imesaidia sana kiuchumi lakini kuna changamoto kubwa wanazo kutana nazo, kwanza wanakutana na abiria ambao cio watu wema na uwakodi na kuishia kuuwawa ama kujeruiwa, kiufupi waaarifu wengi uwakodi kwa lengo la kuwapora pikipiki zao, pia wanakutana na msuguano kutoka serikalini kwani wengi wao awajakamilika kuanzia leseni, bima ya pikipiki, awavai element.

Lakini pia wanatumia vyombo vyao vibaya kwani wanapakia abiria zaidi ya mmoja maarufu mshikaki, lakini kwa nyongeza wamekuwa na tabia ya kuwaachia pkpk wenzao na kupewa asilimia zao asubui maarufu PK, sasa awa PK ukikutana nao weka vitu vyako vizuri vinginevyo unaibiwa,ni wezi sana awa PK, asa apa kigoma ndio nimepata ku prove hii ishu,karibuni sana KIGOMA lakin ogopa awa PK
 
Back
Top Bottom