mcfm40
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,452
- 3,150
Uhuru wenyewe wameripoti japo kwa kuipa umuhimu mdogo. Cha ajabu magazeti ya serikali haya hayana habari yoyote kumhsus Lissu, je hii si kuwanyima haki wasomaji wake? Taarifa kubwa kama ile unaachaje kuitoa "fent fod" kwa mfano? Hii ina maanisha msomaji wa haya magazeti akitaka kuipata habari ya Lissu atalazimika kununua magaze4ti mawili ili tu aipate hiyo habari.
Uongo mbaya, watu wengi wanatamani kusikia hali ya Lissu ikoje, wawe wale wabaya wake au sisi tunaomtakia mema. Sasa gazeti kubwa kama daily news au habari leo kutoipa habari hiyo uzito hata mdogo kama walivyofanya uhuru, ni kuzidi kuconsolidate ile dhana kwamba serikali inahusika na shambulio dhidi ya Lissu, na hivyo iko guilty.
Najua gazeti halilazimishwi kuandika habari yoyote lakini hii ya Lissu ina special circumstances na ni ngumu kuikwepa bila kuibua miguno! Kwa hivyo niseme basi hivi vyombo vya habari hivi vimefanya kosa la kiufundi ambalo linaitia doa serikali wakati kosa hili lingeweza kuepukwa!
Hivi kwa wale mnaotazama TBC hivi wao hii habari ilikuwa kwenye taarifa yao ya habari?