Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Bandugu, Wakati wa utawala uliopita kuliibuka kundi maarufu lililo sheheni watu wa kada mbali mbali hasa kutoka kanda ya ziwa lililoitwa "Victoria Group" Kundi hili lilihusisha Wafanyabiashara...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Fanyeji uchunguzi..Nahisi Kama Hawa sio askari wa u kweli Ni mashanta tu ambao wanashirikiana na police wa ukweli kukamata magari na vitu vingine. Ila Ni bora wale askari wa u kweli wakawa mbele...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tabora. Polisi mkoani Tabora inawashikilia wahamiaji haramu 21 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wanaodai kukimbia mapigano kwao. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Wilbroad Mutafungwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa william lukuvi, ameagiza eneo ya lililokuwa shamba la mifugo la Malonje wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa lenye ukubwa wa ekari 12,750...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Nishati Mh. Subira Mgalu ameagiza TANESCO kukamilisha kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Mbagala ili kuhakikisha tatizo la kukatika umeme mara kwa mara katika maeneo ya hayo...
0 Reactions
1 Replies
880 Views
MTU mmoja amekufa na nyumba mbili zimeezuliwa mapaa yake na kuanguka kutokana na mvua kubwa iliyonyesha ikiwa ni msimu wa mvua za vuli ambao umeanza mkoani Kigoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Arusha. Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), limesema madai ya wafanyakazi kwa Serikali ni ya halali. Viongozi wa vyama vinavyounda shirikisho hilo wakizungumza na waandishi wa habari...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau kwa wenye kuifahamu Singida vizuri ipi tofauti ya msingi baina ya Mnyaturu na Mnyiramba? Karibuni
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna milio inasikika nje huko si ya kawaida... kwa wakazi wa Dsm tujuzane..inakuja na kupotea.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ilianza kipindi flani nlikuwa na mgogoro na mpenzi wangu tukaenda enda akaanza kunitukana na mwishowe akanipiga chini. Nliumia sana. Alipotuma tu mesej kuwa its over nisimjue asinijue...kesho yake...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu habarini! Kwa wale wataalam wa kupanga na kutimiza malengo naomba mnisaidie Mawazo maana mimi naona Kama napoteza muda tuu Duniani. Mipango mingi nikiplan siitimizi, and am abit confused...
0 Reactions
1 Replies
593 Views
Picha ya kutisha ya uhalifu wa mazingira imetangazwa kuwa mshindi katika tuzo za shindano la wapiga picha la mwaka huu Picha ya kutisha ya uhalifu wa mazingira imetangazwa kuwa mshindi katika...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wengi mtakua mashahid kuwa vyuma vimekaza katka kila sekta, sekta binafsi, hata kule kule ambako baba j (uma) nako vyuma vmekaza haswaa, wakat uo uo TRA wanatangaza mapato kuongezeka kila uchwao...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Habari za mchana wana JF, Katika pitapita zangu vitabuni nimekutana na maneno hadhimu ya huyu mwanazuoni na kiongozi wa dini. Naomba, tutafakari maneno yake ili tupate shime ya kimaisha. “Man...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Kejeli nyiingi mara Raisi wetu hajui Kiingereza, sijui anaogopa kwenda kwa Wazungu, sasa wenyewe Wazungu wanakodi Ndege ktk kwao kuja kwetu kujadiliana na Raisi wetu Ikulu yetu, hii haijwahi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Nauliza continental decoder ndo bhas tena?nimeuliza hivyo kwa sababu huu ni muda sasa kingamuzi chao hamna customer care kabisa yaani ni zero Ndugu yangu kanunua king'amuzi chao kipya...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari wadau.. Najua dada Juliana Shonza ni mwenzetu humu JamiiForums muda mrefu.. Ni vizuri ukatueleza kama Naibu Waziri wa wizara inayohusika na hata Miss Tanzania. Japo miaka mingi...
1 Reactions
9 Replies
974 Views
Gari za Arusha Mbeya Arusha Express zinatembea mbaya kabisa njia nzima toka Mbeya mpaka Arusha mpaka maini yanacheza aisee. Siamini kama njia nzima trafic wetu wanaojifichaga vichakani na kwenye...
9 Reactions
99 Replies
13K Views
Jimboni kwake huko Mkoani Singida pmj na maneno mengi na mbwembwe nyingi lkn hupita kwa taabu sana, yaani kwa maana nyingine Wananchi wa Singida hawamkubali Tundu Lisu kiivyo, sasa Je 2020 kama...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Niliagiza vitu kutoka China kuna mtu yupo China ndiye aliyenisaidia the whole process but shida inakuja hapa niliambiwa mzigo utafika baada ya siku 25 but today ni siku ya 50 sioni dalili ya...
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Back
Top Bottom