CHIEFMANGU
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 685
- 1,149
Imekuwa kero sana kutumia huduma za Tigopesa,tangu sasa natupa line yao,na wengine mliokerwa na huduma zao kama mimi tupeni kabisaaaaaa!!!
Ni hivi,nilifanya muamala wa kutoa pesa kwa wakala nikiwa safari,lakini kwa bahati mbaya kutokana na haraka,nikakosea namba moja,(ya wakala) hivyo pesa yangu ikaenda kwa wakala mwingine.
Nilipogundua hilo,haraka sana nikapiga simu Tigo,wakaniambia pesa yangu itarudi ndani ya masaa 48,(hiyo ilikuwa tar.29/09/2017).
Cha ajabu mpaka leo pesa yangu haijarudi,kila nikiwapigia majibu yao ni "tatizo lako linashughulikiwa"
Hivi katika mazingira kama haya,siwezi kufungua kesi kudai pesa yangu?
Je,sheria ya uendeshaji wa huduma hizi za kifedha zinasemaje kuhusiana na changamoto kama hii?
Je,mimi kukosea namba ya wakala kunaninyima haki ya kupata pesa yangu kwa kipindi chote hiki?(tangu tarehe 29/09/2017 mpaka leo).
Pamoja na andiko hili ninaambatanisha meseji ya muamala wangu.