Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sina hakika kama ndio mwitikio wa Tanzania ya viwanda ama kupunguza matumizi ya kemikali mwilini, lakini ukweli ni kuwa togwa imeanza kutengenezwa kwa wingi jijini Dsm. Ukipita mitaa ya magomeni...
0 Reactions
7 Replies
908 Views
Hii hapa ni barua ya maoni yangu ambayo tayari nimeituma kwenye email tajwa hapo juu waweza kuongeza maoni yako! Habari. Mim ni mdau wa utalii na ningependa kutoa maoni yangu ili kuchangia...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Fursa nzuri kwetu vijana kwa fursa hizo zitakazopatikana, na fursa kwetu pia kubadilishana mawazo na uzoefu. Kama sio wewe mjulishe mdogo wako, kijana wako au mwanao fursa hii
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Ukiingalia Dunia tunayoishi utaona kwamba hakuna haki, kwa mfano kwa nini wengine wanazaliwa kwenye Jangwa pasipo na chochote na wengine wanazaliwa sehemu zenye rutuba? Kwa nini Wajapani wanaishi...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Tangu nikiwa mdogo enzi za short wave nimekuwa nikiyasikia matangazo ya idhaa za kiswahili za mashirika ya utangazaji ya mataifa makubwa kama BBC, DW, VOA, RFI, China Radio International, Radio...
4 Reactions
79 Replies
7K Views
Nakumbuka zamani alikuwepo mzee mmoja wakati wa tume ya jiji la Dar es salaam kwà Jina kama sijalikosea Mwaibula huyu mzee alihusika sana kupanga usafiri wa daladala jijini pamoja na kubuni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Acacia wakubali yaishe kwa JPM WAMEKUBALI yaishe! Pengine hivyo ndivyo inavyoweza kuelezwa kuhusiana na taarifa iliyotangazwa na kampuni ya Acacia juu ya mafanikio waliyopata katika jaribio la...
3 Reactions
63 Replies
11K Views
Zoezi la uhakiki linaloendelea kwa watumishi wa idara mbalimbali nchini linaloendeshwa na serikali limeacha baadhi ya walimu kukosa usingizi kwani hawana uhakika na ajira zao. Pamoja na kukosa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mawaziri watakuwa wakielezea mafanikio ya wizara zao tangu kuingia madarakani kwa serikali ya awamu ya tano kuanzia Oktoba 19 hadi Desemba 28, 2017.
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Baadhi ya makamanda wa jeshi la wananchi wa Tanzania wanaosimamia ujenzi wa Ukuta wa kuzunguka machimbo ya madini ya Tanzanzite wametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Aliyekuwa kamanda wa kanda maalumu ya Dar es laam, Suleiman Kova, akiagwa muda huu katika viwanja vya chuo cha Mafunzo ya Taaluma ya Uaskari Moshi (MPA) Zamani kikijulikana kwa jina la CCP...
2 Reactions
47 Replies
13K Views
Nakumbuka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda alisema ni lazima vitendo vya kihalifu na upotofu wa maadili vikomeshwe. Alishuhudiwa akitembelea maeneo kadhaa yaliyotajwa kuwa kiini cha...
3 Reactions
75 Replies
10K Views
Siyo siri kwa sasa hivi kodi imekuwa kero. Alimradi umejitanabahisha kuwa unafanya biashara au una kiwanda. Kutembelewa "kukaguliwa" na vitabu vya mahesabu kupitiwa si mara mbili tatu bali hata...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Straight to the point::::::: Zitahitajika meli kubwa 4,000 zenye uwezo wa kubeba gari 10,000 per ship ili kuleta Noah takkribani milioni 40 zitaazoagizwa nchini kutoka Japan ikiwa ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema jumla ya watuhumiwa watano wamefariki dunia baada ya kutokea majibizano ya silaha kati ya polisi na katika maeneo ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mods Please huu uzi msiuunge sehemu nyingine kwanza nipate majibu. Habari zenu wadau. Tafadhali naomba kujua ipi ni bima ya afya yenye unafuu kidogo kwa mimi mtanzani mwenye kipato cha wastani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
napenda kuwauliza na kuomba kufahamishwa kuhusu hii kampuni ya Mike rowland tanzania limited kama kuna mtu anafanya au amewahi kufanya kazi au kuisikia kampuni hii anielekeze yafuatayo Maswali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu nahisi kuna watu washafanya yao muda huu pande za njiro mitaa ya radio 5 maana zimepigwa risasi za kutosha zimesikika. Kama sio kuvamiwa basi kuna mjinga tu kaamua kujifurahisha tu maana...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Nasoma gazeti la Tanzania Daima uk wa 6, kwamba wanajeshi wastaafu wana faraja kubwa hasa baada ya serikali kusikiliza maombi yao ikiwa ni pamoja na kuzikwa kijeshi na kuwalipa mishahara baada ya...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom