Kuna The Mountain Institute kipo Kaloleni pale wanafundisha lugha zote... Kijerumani, Kifaransa, Kiitaliano, Kispaniola na Kiingereza... Chuo kipo karibu kabisa na kituo cha polisi kaloleni! Ni Chuo maarufu sana watu wamezoea kupaita kwa babu... Kuna mzee mmoja pale wa siku nyingi sana anafundisha kijerumani ndio anaitwa Babu.Karibu na Mount Meru Hotel...
Asante... nitafika hapo.Kuna The Mountain Institute kipo Kaloleni pale wanafundisha lugha zote... Kijerumani, Kifaransa, Kiitaliano, Kispaniola na Kiingereza... Chuo kipo karibu kabisa na kituo cha polisi kaloleni! Ni Chuo maarufu sana watu wamezoea kupaita kwa babu... Kuna mzee mmoja pale wa siku nyingi sana anafundisha kijerumani ndio anaitwa Babu.
Uyo babu nampata.ni shida.Kuna The Mountain Institute kipo Kaloleni pale wanafundisha lugha zote... Kijerumani, Kifaransa, Kiitaliano, Kispaniola na Kiingereza... Chuo kipo karibu kabisa na kituo cha polisi kaloleni! Ni Chuo maarufu sana watu wamezoea kupaita kwa babu... Kuna mzee mmoja pale wa siku nyingi sana anafundisha kijerumani ndio anaitwa Babu.