Ipi ni Bima ya Afya nafuu?

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
9,412
26,892
Mods Please huu uzi msiuunge sehemu nyingine kwanza nipate majibu.


Habari zenu wadau.

Tafadhali naomba kujua ipi ni bima ya afya yenye unafuu kidogo kwa mimi mtanzani mwenye kipato cha wastani wa 550k per month.

Tafadhali sana.
 
Back
Top Bottom