Vijana mtakuja kufia gym

Vijana mtakuja kufia gym

yuleMskinny

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
242
Reaction score
136

Habari ya humu wana jamvi,

Ni matumaini yangu mnaenjoy kabisa sikukuu hii ya leo na maadhimisho haya.

Binafsi naenjoy kwani nakaa nyumbani bure tuu na hili ni furaha kwangu.

Leo naomba niwaandikie kuhusu yanayotokea GYM na hii nimeshuhudia kwa macho.

Asubuhi kama kawaida nilimdrop sweetheart GYM kwake na nikarudi nyumbani kwani sikua naenda kazini leo. Kufika mida ya saa saba nikamfata kumpiki sasa simu yake akawa hapokei ikabidi nimfate ndani. Nikakuta yuko katikati ya zoezi nikaona sio mbaya nikitazama kidogo mazoezi.

Pembeni alikua jamaa mmoja kembamba kama Wahanga wa njaa (Somalia) alikua ameshika vile vichuma vidogo tu vya kunyanyua na mkono na vinampa taaabu kweli anajikaza mpaka nikahisi atajisaidia pale pale.

Mara muda si muda akaja Gym instructor na kuanza kumwambia ongeza weight hizo acha kuzembea. Mara ghafla akamletea lile lichuma lirefu linalowekwa uzito huku na huku akamuelekeza jinsi ya kufanya alafu yeye akamuacha akaondoka. Basi dogo akaanza kupambana nalo.

Ananyanyua ngoma hainyanyuki. ile kujikaza zaidi mchuma ukamzidi nguvu na kumporomokea kifuani. Masikini Dogo alilia sana wakaja pale wanampa pole na kumwambia jikaze. Sasa nikawaza jamani, kazi ya istructor wa GYM ni kukupa machuma mazito na kukuacha au ni kukusaidia.

ANYWAYS NILIFURAHI CHUMA LILIVYOMUANGUKIA MAANA ALIKUA ANAKAZIA MACHO WOWOWO LA WIFE, SHENZI TYPE
 
Kutafuta nyonyo ....ambazo ninyi mnatakiwa mzinyonye kama chungwa

sio jambo la mchezo mchezo ......nakumbuka zamani wakati sina mwili

wa maana ...mpenzi wangu wa wakati ule aliniambia ....kifua changu

chembamba kama kidali cha njiwa......nilisikitika mno....
 
Mejizungusha weeeeèeeeee........
Mwisho ndipo ukafunguka kilicho kuuma ni jamaa kukodoloea Chura unayo miliki.......[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
mzee chura ya wife inauma kuona jamaa anaitazama eti. nilitamani kumkoromea ila alivoanza kupewa michuma iliomzidi umri nkaona swaafi akome
 
Kutafuta nyonyo ....ambazo ninyi mnatakiwa mzinyonye kama chungwa

sio jambo la mchezo mchezo ......nakumbuka zamani wakati sina mwili

wa maana ...mpenzi wangu wa wakati ule aliniambia ....kifua changu

chembamba kama kidali cha njiwa......nilisikitika mno....
hahaahahhahahah eti kidari cha njiwa duuuh kwa tusi hilo ikabidi uende GYM chaap
 
Hahaha...nakumbuka nilienda na wife gym jioni nikakuta vipande vya maana aisee....Nahisi walikuwa walinzi wa night club basi nikafika pale nikaanza kufanya mazoezi ya miguu kwa kuendesha zile mashine..Nika mcheki baby naona anashangaa yale majamaa yanayo beba machuma mazitoooo

Basi kidume nikaona sio issue nikamwambia wife...kichwa kinauma tusepe.Tukasepa zetu njiani akaanza kuniuliza wale jamaa watakuwa wanakula chakula kiasi gani...

Daaah!...nilivyo waponda Mungu mwenyewe ndio anajua....Full kumtia kamba kwamba wale ni madawa wana tumia alafu ni walinzi wa maclub nika malizia wanaua misuli yao ndio maana wengi wao ni ......

Basi kuanzia hapo si kwenda tena gym nina vimashine vyangu home.
 
Hongera mkuu hapo umetumia teqninik maarufu inayoita THE KIMAMBI STYLE Ukiona vita huiwezi we ponda tuu haha alafu ungemwambia wengi wanapakwa mafuta ili hata asitaman kuyajaribu hayo mapande
 
Habari ya humu wana jamvi,

Ni matumaini yangu mnaenjoy kabisa sikukuu hii ya leo na maadhimisho haya.

Binafsi naenjoy kwani nakaa nyumbani bure tuu na hili ni furaha kwangu.

Leo naomba niwaandikie kuhusu yanayotokea GYM na hii nimeshuhudia kwa macho.

Asubuhi kama kawaida nilimdrop sweetheart GYM kwake na nikarudi nyumbani kwani sikua naenda kazini leo. Kufika mida ya saa saba nikamfata kumpiki sasa simu yake akawa hapokei ikabidi nimfate ndani. Nikakuta yuko katikati ya zoezi nikaona sio mbaya nikitazama kidogo mazoezi.

Pembeni alikua jamaa mmoja kembamba kama Wahanga wa njaa (Somalia) alikua ameshika vile vichuma vidogo tu vya kunyanyua na mkono na vinampa taaabu kweli anajikaza mpaka nikahisi atajisaidia pale pale.

Mara muda si muda akaja Gym instructor na kuanza kumwambia ongeza weight hizo acha kuzembea. Mara ghafla akamletea lile lichuma lirefu linalowekwa uzito huku na huku akamuelekeza jinsi ya kufanya alafu yeye akamuacha akaondoka. Basi dogo akaanza kupambana nalo.

Ananyanyua ngoma hainyanyuki. ile kujikaza zaidi mchuma ukamzidi nguvu na kumporomokea kifuani. Masikini Dogo alilia sana wakaja pale wanampa pole na kumwambia jikaze. Sasa nikawaza jamani, kazi ya istructor wa GYM ni kukupa machuma mazito na kukuacha au ni kukusaidia.

ANYWAYS NILIFURAHI CHUMA LILIVYOMUANGUKIA MAANA ALIKUA ANAKAZIA MACHO WOWOWO LA WIFE, SHENZI TYPE
Mkeo anapiga mazoezi wewe umelala ndani, halafu unajisifu we mwanaume? Utanunua vumbi la Kongo muda siyo mrefu.
 
Back
Top Bottom