Vita ya madawa ya kulevya imeisha?

Harry singo

JF-Expert Member
Apr 24, 2016
352
438
Habari zenu wanajf.
Leo nina maswali kadhaa ya kujadiliana. Miezi michache iliyopita mkuu wa mkoa wa dar es salaam alianzisha kile kilichoitwa vita ya madawa ya kulevya na akadhalilisha watu wengi kwa tuhuma za kuhusika na madawa ya kulevya either matumizi au uuzaji, na wote tunafahamu support aliyopata kutoka kwa mkuu wa nchi na hatimaye ikaundwa tume ya kuchunguza washukiwa, lakini sasa hivi upepo umebadilika hakuna aliyewajibishwa, hakuna mtandao ulio kamatwa, wala ripoti ya tume haijatolewa kama ipo,
Sasa maswali ambayo yanatutatiza ni
-je ilikua ni vita ya madawa ya kulevya kweli au vita dhidi ya watu fulani via madawa ya kulevya?
-kuna watu waliowajibishwa?
-kwanini hakuna ripoti yoyote iliyotolewa?
-mkuu wa mkoa alivunja itifaki kwa kutangaza majina na tunafahamu hatawajibishwa lakini sasa wale waliokutwa bila hatia ni hatua gani imechukuliwa kuwacompensate?

-kiuhalisia hii ni vita dhidi ya kambi mbili, ni kambi zipi na ni akina nani ndio walengwa?
Hebu tudadavue halafu tuone nchi inaelekea wapi (kwa muktadha wa swala hili)
Nawakilisha
 
Inapigwa kimya kimya mkuu, wewe unaona kitu ya Arusha , au ila kitu ingina warangi wanaotafuna kama mbuzi vinapatikana tena mtaani?
 
~~~>>>Vita ya madawa japo iliingia na Siasa lkn kiasi flani imesaidia kupunguza tatizo la madawa ya Kulevya..

+Leo hii makundi ya vijana wa Panya road yamepungua kiasi kikubwa sana..........
 
~~~>>>Vita ya madawa japo iliingia na Siasa lkn kiasi flani imesaidia kupunguza tatizo la madawa ya Kulevya..

+Leo hii makundi ya vijana wa Panya road yamepungua kiasi kikubwa sana..........
Ila Bado cha arusha kinatumika kuna maeneo ukipita unaskia harufu nabaki kushangaa tu
 
Imeisha Baba mwenye kutaka sifa emeshazipata kapewa na cheti juu hapo ni failures wa mitihani yote ya taifa Ya PSLE na CSEE
 
Mateja bado wanadevela, inamaana supply ipo ya kutosha.

Ni heri warasimishe kuliko kupampana na mila na desturi za wana arusha.
Kitu pendwa inadumisha mila.
 
Back
Top Bottom