Halotel mmekuwa wezi, TCRA komaa nao

Halotel mmekuwa wezi, TCRA komaa nao

fastum

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
337
Reaction score
228
Yaani hawa halotel wamekuwa wezi saivi kifurushi cha strimika youtube kimeshushwa kutoka mb 1220 hadi 600mb kwa shilingi 500 sasa hapo strimika nini sasa?
jamani sasa TCRA wekeni limit ili mtumiaji ajue kwenye mitandao yote mb kadhaa unapata kwa shingi kadhaa.
 
Kumbe kubadilisha utaratibu wautoaji huduma nao ni wizi?. Nilidhani umekuta MB zimeisha bila kuzitumiaa

G.Don-Master.
 
Niliwahi kusema kwamba taasisi nyingi zinazoitwa za umma, ikwemo TCRA ni matawi ya CCM. kamwe hawafanyi kazi kwa ajiri ya wananchi Bali kwa maslahi ya CCM Na serikali. (Kumbuka wewe si sehemu ya serikali kama wanavyokuambia).
 
Yaani hawa halotel wamekuwa wezi saivi kifurushi cha strimika youtube kimeshushwa kutoka mb 1220 hadi 600mb kwa shilingi 500 sasa hapo strimika nini sasa?
jamani sasa TCRA wekeni limit ili mtumiaji ajue kwenye mitandao yote mb kadhaa unapata kwa shingi kadhaa.
huja lazimishwa kutumia halotel, afu unaweza kushtakiwa kwa kulichafua kampuni la HALOTEL
 
Niliwahi kusema kwamba taasisi nyingi zinazoitwa za umma, ikwemo TCRA ni matawi ya CCM. kamwe hawafanyi kazi kwa ajiri ya wananchi Bali kwa maslahi ya CCM Na serikali. (Kumbuka wewe si sehemu ya serikali kama wanavyokuambia).
Kumbe wewe utakuwa mhenga
 
Yaani hawa halotel wamekuwa wezi saivi kifurushi cha strimika youtube kimeshushwa kutoka mb 1220 hadi 600mb kwa shilingi 500 sasa hapo strimika nini sasa?
jamani sasa TCRA wekeni limit ili mtumiaji ajue kwenye mitandao yote mb kadhaa unapata kwa shingi kadhaa.
tatizo lako siyo kubwa ukijua falsafa ya sales & marketing utakuwa tu mpole,haya mitandao tulishayazoea s halotel tu
 
Back
Top Bottom