GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,700
- 14,647
Nimekaa tu nikakumbuka visa na mikasa ya wanafunzi tuliokuwa tunasoma Shaban Robert. Sisi ndo tulikuwa habari ya mjini kwa kuonekana ni mambo safi na pia ngeli ndo home kwake. Nakumbuka tulivyokuwa tunashindana na watoto wa kidosi kwa kila kitu.
Jamaa ilikuwa tukianza kushindana kwa magari basi ni kushindana ile mbaya hasa watoto ambao hali ya kwao ilikuwa si stable sana waliishia kuacha shule maana walikuwa wanashindwa music wa pale.
Jamaa mmoja katika kushindana kuja na magari ndo aliua kabisa alipokuja na kichwa ha scan shuleni. Yule bwana mdogo wa kihindi alikuwa ameshabadilisha magari mpaka basi.
Siku hiyo akaja na kile kichwa kipisi cha scania mpya akafunguliwa geti na mlinzi hakujua kuwa ni dent Baadaye anashuka toka kwenye gari na begi kile kipande amekipark pembeni tena alikuja wakati watu hawajaingia darasani. ilikuwa gumzo. Ndo jamaa wakakoma naye. Yale maisha yalikuwa na raha yake.