Ushauri: Billion 700 za Barrick, Kiasi Kikajenge Daraja la Kigongo-Busisi Kama kumbukumbu

Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,510
2,000
Kwa unyonywaji uliofanywa na makampuni ya madini, nashauri kiasi cha fedha zitakazolipwa kitumike kujenga daraja la kigongo-busisi kama kumbukumbu ya unyonyaji uliofanywa na makampuni ya madini, daraja hili linaonganisha migodi ya madini na jiji la mwanza ambao imeshauriwa kuwekwa makao makuu ya Barrick.

Pia kiasi kingine kipeleke maji kwa wakazi wa nyamongo na Tarime kwa ujumla kwa jinsi walivyoathirika na unyonyaji wa haya makampuni.

Ni ushauri tu, pia unaweza kutoa wako ili hizo fedha zifanye kitu kitakachobaki kama kumbukumbu ya muda mrefu.

Mungu ibariki Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano.
 

Mtu mdogo

JF-Expert Member
Nov 2, 2016
526
1,000
Sizani kama wanawaza hivyo wenzako wapokeaji nahisi watagawana kwenye bahasha za kaki
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom