Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,741
Habari jamani.
Hivi naomba kujulishwa jambo moja!! Jana kocha wa Simba Jackson Mayanja kajiuzulu. Leo Mara Paaaaaaaap kapatikana replacement kutoka Rwanda raia wa burundi. Mara Paaaaaaaaaaaaaap tayari nimeona picha anapiga kazi akiwa amesimama na Niyonzima. Hiviiii tayari ana vibali vyote vya kuishi na kufanya kazi nchini????!!
Naomba tujulishwe imekuaje repalcement ya aliyejiuzulu ikafanyika fasta namna hii. Lishughulikiwe mapema na kama kuna kesi iishe baaada ya tarehe 28 mwezi huu.
Asanteni.