Leo ni sikukuu ya diwali tegemeeni fataki na baruti kurushwa ,msistuke na mingurumo hizo

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
Ndugu zangu wakazi wa kariakoo ,magomeni ,upanga ,posta mkisikia mingurumo siku ya Leo au kesho msichanganyikiwe

Kama ilivyo miaka yote wahindi wanasherehekea siku yao iitwayo Diwali day

Sherehe hio huambatana na upigaji wa baruti angani.Nadhani wakazi wa wilaya ya kinondoni na ilala ni wazoefu sana katika siku hii kusikia mingurumo ya fataki hizo


Msije mkadhani watu wasiojulikana bali ni sherehe ya Diwali
 
Utakuwa mtoto wewe.. acha ubaguzi

Cha msingi jeshi la polisi waimarishe doria ili watu wasiojulikana wasijekutumia nafasi hizo
Hivi Unawajua Hao wahindi au unawasikia mkuu??? ushawahi kufanya nao kazi???? Kama ungewajua vizur usingewatetea hapa ni wabaguzi waziwazi tena kwenye Nchi yetu hii....
 
Back
Top Bottom