Watu 7 wenye funguo za kuzima na kuanzisha upya internet..


Wick

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
6,716
Likes
8,865
Points
280
Wick

Wick

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2012
6,716 8,865 280
Je wajua kuna watu 7 pekee duniani wenye funguo za kuanzisha internet upya duniani iwapo kukitokea tukio lolote litakalo sababisha janga kubwa duniani ambalo linaweza zima mtandao.
Programme hii inaangaliwa na kampuni iitwayo ICANN (Internet Corporation for Assigned Names and Numbers).
Watu hawa saba (7) wenye funguo hukutana mara moja kila mwaka, ambapo pia wana back up ya watu wengine saba(7) hawa backup wenyewe hawana haja ya kukutana ila kila mwaka wanatakiwa piga picha wakiwa wameshika gazeti la siku husika pamoja na kadi/smartcard zao kuonyesha uhalali wao.
Ili kuweza kushikilia funguo hizi, watu hawa wanatakiwa kuwa na historia ya kufanya kazi katika masuala ya ulinzi wa mitandao na kwenye taasisi mbalimbali. Walichaguliwa kwa kuangalia ujuzi wao na maeneo mbalimbali wanayotoka duniani , pia haitakiwi nchi moja kuwa na washika funguo wengi.
Ingawa wapo saba(7) lakini wanaotakiwa kuweza anzisha upya system ni atleast watu watano(5) na kila mmoja ana kipande tu cha system ina maana mpaka kuianzisha system ni atleast upate vipande vitano(5) toka kwa hawa watu saba (7).
Seven Internet Keymasters:-
- Paul Kane Great Britain
- Dan Kaminsky United States
- Jiankang Yao China
- Moussa Guebre Burkina Faso
- Bevil Wooding Trinidad and Tobago
- Ondrej Sury Czech Republic
- Norm Ritchie Canada

Meet the seven people who hold the keys to worldwide internet security
 
Prince Mhando

Prince Mhando

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Messages
4,952
Likes
4,036
Points
280
Prince Mhando

Prince Mhando

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2014
4,952 4,036 280
Jazia basi nyama
 
dtj

dtj

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Messages
729
Likes
517
Points
180
dtj

dtj

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2014
729 517 180
Mimi mpaka kina chief mkwawa na kina root waseme ndio naamini.

Povu ruksaaaa
 
cyrustheruler

cyrustheruler

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Messages
1,747
Likes
1,426
Points
280
cyrustheruler

cyrustheruler

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2015
1,747 1,426 280
Mbona Trump hayupo si alisema anaweza kutukatia waafrika internet from his side of heaven
 
Mr Miller

Mr Miller

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Messages
10,441
Likes
22,644
Points
280
Mr Miller

Mr Miller

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2017
10,441 22,644 280
sijaona mRussia au N.K hapo...je ndo kusema na wao wana internet keys zao ama...!!!?
 

Forum statistics

Threads 1,237,931
Members 475,774
Posts 29,306,993