Malalamiko kwa Idara ya kazi Arusha/CMA

Amon Mahamba

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
399
64
Kwa heshima kubwa kuwaomba watumishi wa idara hiyo muhimu kutoa haki sawa kwa waajiri na waajiriwa ,hii tabia ya kuegemea kwa waajiri ni kuwakatisha tamaa watumishi hasa wa sekta binfsi na kuanza kua na dhana ya rushwa hutumika katika kutatua migogoro sehemu ya kazi je ni JIPU?

Wahusika hatupendi kuandika haya chukueni hatua na badili tabia haki kwa wote
 
CMA wabadilike kweli wana tabia za kuomba rushwa! Tutawaletea za moto! Maana takukuru imeamka sasa imetoka mafichoni
 
Takukuru Arusha/vyombo vya Habari pia CMA In-charge ahamishwe amedumu kwa miaka mingi ila Hali ufanisi wake ukiwa mdogo
 
Hivi jamani mbona kama nchi nzima imeoza? Maana kila kona ni ufisadi..!! Yaani sijui magufuli aanzie wapi na aishie wapi
 
In charge wa Mtwara pia ni tatizo, ahame!! Kuna kijana wake mmoja alikamatwa na rushwa pale , eti mpaka leo yuko pale! Hii ni hatari! Jamaa pamoja na kukamatwa na kuponea chupuchupu bado anaomba na kupokea rushwa kwa kwenda mbele!! CMA anzeni na hawa!
 
Wanatia hasira sana hawa wajinga, wakija wanapewa hela na waajiri halafu hakuna la maana eti unamhoji mfanyakazi lkn tayari umeshaongea na waajiri
 
Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) Arusha ina tatizo la kurithi. Wanafanya kazi kwa mazoea. Inatakiwa kusukwa upya kuendana na matakwa na kasi ya Mhe. Rais.
 
Back
Top Bottom