Kwa style hii ya Umeme halafu tunasema nchi ya Viwanda bado ni shida.


M

Magita

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Messages
265
Likes
49
Points
45
M

Magita

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2013
265 49 45
Haiwezekani Umeme bado unakatikakatika halafu bado hatuambiwi hasa tatizo ni nini! Mfano huku kwetu kwanza tulikaa gizani kwa siku 2 mfululizo(masaa 48) baada ya muda ndio ukarudi, tulikaa nao masaa kama 4 ukakatika tena then ukarudi tena saa 2.30 usiku( juzi), baada ya masaa 3 ukakatika tena, ukarudi tena jana mchana saa 6.45 ilivyofika usiku 3.20 ukakatika tena hadi asubhi hii saa 12.40 yani leo jmosi haujarudi. Kwa style hii kufika ktk nchi ya viwanda bado hatuna sifa eiza Tanesco mbadilishe mbinu ingine.
 
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
2,950
Likes
3,614
Points
280
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2013
2,950 3,614 280
kuna watoto 9,nasikia walifariki baada ya umeme kukatika na incubator zao kuacha kufanya kazi, R.I.P little angels
 
G.25

G.25

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Messages
1,049
Likes
826
Points
280
Age
96
G.25

G.25

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2013
1,049 826 280
Vyerahani havihitaji sana umeme, "fanyeni kazi"
 

Forum statistics

Threads 1,213,681
Members 462,214
Posts 28,485,674