Hivi kwa hapa Mbeya kuna maduka ya dawa asili?

honorto

Senior Member
Mar 27, 2017
188
102
kutokana na faida za mti wa mlonge nilizo zisoma humu ndani, hivyo nimehamasika na dawa asili zitokanazo na mti wa mlonge. Nana imani kupitia tiba hii nitapona maladhi yangu yanayo nikabiri. Ivyo kama kuna anae jua lilipo duka linalo uza dawa za asili kwa apa mbeya mjini naomba naomba msaada wa kufahamoshwa lilipo.
 
Back
Top Bottom