Basi la Kidia One acheni usanii

Basi la Kidia One acheni usanii

gabatha

Senior Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
135
Reaction score
57
Nimepanda basi la hii kampuni, wakati ninakata tiketi jana walinihakikishia kwamba lina kiyoyozi lakini baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi. Ukiwauliza wanasema watawasha lakini hawajafanya hivyo.

Mwenye kampuni fyatilia vijana wako, wanakuharibia biashara.
 
Sawa Mkuu tumekusikia tumekufikia na utashuhulikiwa.
 
Nimepanda basi la hii kampuni, wakati nnakata tiketi Jana walinuhakikishia kwamba lina kiyoyozi lkn baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi.ukiwauliza wanasema watasha lakini hawajafanta hivyo.Mwenye kampuni fatilia vijana wako wanakuharibia biashara.
kiyoyozi na mvua yote hii!?, labda anawasha heater
 
Pia walisema watagawa pipi na maji mpaka sasa sioni dalili za kugaiwa izo pipi. ..mmliki wa kidia one tunaomba msaada tafadhali
 
Nimepanda basi la hii kampuni, wakati nnakata tiketi Jana walinuhakikishia kwamba lina kiyoyozi lkn baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi.ukiwauliza wanasema watasha lakini hawajafanta hivyo.Mwenye kampuni fatilia vijana wako wanakuharibia biashara.
Hili Basi au Kampuni ya Kidia ina wahudumu Wahuni anzia dereva na Kondaktas! Nilipanda wakanipitiliza kituo japo niliwasihi kabla. Majibu yao yalikuwa kwa nini hukupanda hayo magari yanayokushusha hapo. Tangu siku hiyo sitokaa nipande Kidia wala kurekomendi ndugu au rafiki
 
Nimepanda basi la hii kampuni, wakati nnakata tiketi Jana walinuhakikishia kwamba lina kiyoyozi lkn baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi.ukiwauliza wanasema watasha lakini hawajafanta hivyo.Mwenye kampuni fatilia vijana wako wanakuharibia biashara.
MKUU,sasa unataka saa 12 asubh wakuwashie AC?
Wengine huwa wanawasha wakiona temp imefikia 35+°c in
 
Nimepanda basi la hii kampuni, wakati nnakata tiketi Jana walinuhakikishia kwamba lina kiyoyozi lkn baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi.ukiwauliza wanasema watasha lakini hawajafanta hivyo.Mwenye kampuni fatilia vijana wako wanakuharibia biashara.

Fungua dirisha tu mkuu cha msingi ufike salama
 
Pia walisema watagawa pipi na maji mpaka sasa sioni dalili za kugaiwa izo pipi. ..mmliki wa kidia one tunaomba msaada tafadhali
[emoji23] [emoji23] aisee zingatia lililokufanya upande basi(safari) sasa hizo nyongeza zisikutoe Imani, Si tumezoea Darlux ac mwanza mwisho na vioo wanalock,maana kuna walugaluga hawachelewi kufungua vioo Wakati A/c ipo kazini
 
Back
Top Bottom