Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Saitoti Kimaki Mkazi wa mtaa wa Msaje wilayani Handeni amefariki dunia huku wengine watano wakijeruhiwa vibaya baada ya gari ndogo aina ya Noah waliyokuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Imezoeleka sana. Nyama huenda sambamba na nyama choma ama kitimoto au kuku choma au rosti! Na mtu akishalewa anakuwa anapenda sana vyakula vya mafuta mafuta.Ndivyo ambavyo hushuka kooni vizuri...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Luhaga Mpina amemepiga marufuku mifugo inayokamatwa kwenye hifadhi mbalimbali nchini kupigwa mnada bila maafisa mifugo kuipima na kujiridhisha ili kuepuka kuenea kwa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu, mnasoma uzi uu lakin tuwe makini tuone kuna ukweli, Magufuli ni rais ambaye tumempokea kwa mikono miwili na ni rais mchapakazi hatuna ubishi na ilo, Kuna mambo ambayo pamoja na...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Wakuu Mhesh Rais Dr. John Magufuli Atakuwa Na Ziara Ya Siku Mbili Mkoani Mwanza Kuanzia Kesho 30/10/2017. Malengo Ya Ziara Hiyo Kuboresha Uchumi Wa Nchi Kwa Kufungua Miradi Mikubwa Minne...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baba unamhitaji akulinde wakati huo huo unamuogopa, sasa huwo ugomvi kati ya hivyo viwili ndivyo vinavyofanya watu wengi kuchangikiwa maishani mwao wawapo wakubwa, wengi wa Watanzania wamelelewa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
MAPAMBANO ya serikali dhidi ya rushwa, yametajwa kuipaisha Tanzania mbele ya wafanyabiashara na wawekezaji wa nje wakiwamo wa Ujerumani, ambao baadhi wameonesha nia ya kuwekeza katika madini...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), imeanza kulima majani aina ya lusini ambayo ni chakula cha Faru Fausta ili kupunguza gharama za kumtunza mnyama huyo. Faru Fausta mwenye miaka 54...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimebahatika kupanda hilo bus leo J2 kutoka Moshi to Dar,driver anaitwa Omari nambari ya gari ni T430DDJ. Mapungufu yapo pamoja na lugha ya kuudhi inayotolewa na Conductor na Agent wa gari...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba Ushauri Kwa Yafuatayo; 1.Inakidhi Viwango Vya Kitaalamu 2.Nitatumia Tofali Ngapi? 3.Bati Ngapi Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
74 Replies
22K Views
Mara Paaap...Kamanda Sirro kimyaaa, hasikiki, karibu wiki ya 3 sasa; yupo ndani ya nchi au kasafiri? Lakini awamu hii hakuna safari za nje tukimwacha Bashite! Nakumbuka mara ya mwisho kusikika ni...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Polisi wilayani ya Babati mkoani Manyara inamshikilia askari wa Jeshi hilo Kikosi cha Kutuliza Ghasia FFU, Cosmas James akituhumiwa kumuua mzazi mwenzake, Regina Daniel 23 kwa kumpiga risasi nne...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari zenu Wakuu ni vyema tukumbushane kidogo mambo ya muhimu ili tusijejikuta tunapoteza kazi kizembe wakati familia zinatutegemea na mtaani kugumu. Huyu jamaa alikuwa anafanya kazi kwenye...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Bodi ya Kahawa (T) ni shirika la umma ambalo baadhi ya majukumu yake ni:- · Kuishauri serekali juu ya kanuni bora za maendeleo ya zao la kahawa Tanzania · Kushughulikia...
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Baada ya mashoga kutimuliwa huko basi huku bondeni kuna povu la Wasouth dhidi yetu usipime
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tafadhali naombeni Msaada kwa Hili hasa kwa Watu walioajiriwa kuhusu Pensions Fund ambayo ni nzuri naombeni Msaada wadau. Karibuni Wadau.
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari za Jumapili ndugu wana jukwaa. Leo ni Jumapili nyingine tulivu ambayo tunapata wasaa wa kukaa, kutulia na familia zetu majumbani. Napenda kuchukua nafasi hii kuwashirikisha Somo au ujumbe...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Moshi. Zaidi ya Kaya masikini 60 za kijiji cha Kombo kata ya Kibosho Magharibi mkoani Kilimanjaro zimekabidhiwa kitita cha Sh33.1Milioni kwa ajili ya maendeleo . Akisoma taarifa kwa Wajumbe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Toka Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani mwaka 2015 kuna mabadiliko mengi yamefanyika na kutokea uraiani na katika sekta mbalimbali za huduma, biashara, uchumi, miundombinu n.k Katika...
0 Reactions
2 Replies
722 Views
Mi nadhani kwenye hili kuna watu lazma wawajibike kama sio Mganga mkuu wa Arusha/mkuu wa mkoa/waziri wa Afya hata mkuu ikibidi Kwenye bday yako nadani uende ukadonate generator Arusha
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…