Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Baba unamhitaji akulinde wakati huo huo unamuogopa, sasa huwo ugomvi kati ya hivyo viwili ndivyo vinavyofanya watu wengi kuchangikiwa maishani mwao wawapo wakubwa, wengi wa Watanzania wamelelewa hivi, ndiyo maana wengi hawajiamini na watu kama Mbowe wanatawala mawazo yao, angalia chadema wote wanamfwata mtu mmoja, Mbowe!
Adui ya Mbowe adui yao, rafiki wa Mbowe ni rafiki yao, ...
Adui ya Mbowe adui yao, rafiki wa Mbowe ni rafiki yao, ...