Yupo wapi kamanda Sirro?

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Mara Paaap...Kamanda Sirro kimyaaa, hasikiki, karibu wiki ya 3 sasa; yupo ndani ya nchi au kasafiri? Lakini awamu hii hakuna safari za nje tukimwacha Bashite! Nakumbuka mara ya mwisho kusikika ni pale alipokataa kujibu maswali kuhusu upelelelezi wa Tukio la Mh.Lissu na baadaye akatoa povu kuwa anataka kumkamata Mange Kimambi.

Sasa leo nimetoka kanisani kusali nikawa najiuliza tu alipo maana nyakati hizi kuna matukio ya watu kupotea na ukiuliza hupati jibu; Yeye hapendi kuulizwa taarifa za watu kupotea lkn sisi raia wema tunamjali...WAPI KAMANDA WETU JAMANI?
 
Mkuu, viongoz wakionekn sana kwny media mnawaita wauza sura (bashite) ,waki kosekn pia kmbe hua mna wa miss
 
Zama hizi show ni ya mtu mmoja tu. Wengine wote kaa kimya.
 
Back
Top Bottom