Ramani Hii Ya Nyumba, Naombeni Ushauri Wenu

Ramani Hii Ya Nyumba, Naombeni Ushauri Wenu

CHIEF MGALULA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,193
Reaction score
914
Naomba Ushauri Kwa Yafuatayo;
1.Inakidhi Viwango Vya Kitaalamu
2.Nitatumia Tofali Ngapi?
3.Bati Ngapi
8c3d271c06f41c977974cf8f48547dc3.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba Ushauri Kwa Yafuatayo;
1.Inakidhi Viwango Vya Kitaalamu
2.Nitatumia Tofali Ngapi?
3.Bati Ngapi
8c3d271c06f41c977974cf8f48547dc3.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye room 2 weka choo na bafu, kwenye choo na bafu weka room 2, The rest is ok, good luck. Kwa wanaosema ni box, wanakosea ikiwekwa kwanye vipimo inakua sio box. Kama unataka kuiweka kwenye dimension na michoro yake yote nicheki pm tufanye kazi.
 
Mimi ni ARCHITECT ndugu ninachoona ramani yako ina mapungufu mengi sana kama utaona inafaa naomba tuwasiliane PM nikutengenezee ramani nzuri ambayo utaipenda na utafrahia
Hivi nikikupa picha ya nyumba, unaweza kunisaidia kujua ramani yake inavyokuwa ?
 
image.jpg
Hiyo hapana mkuu..... Ngoja nikupe mtaji wa ramani uanzie hapo.... Cheki hii.... Achana na gereji....
 
sipendi nyumba mlango unaingia moja kwa moja sebuleni... mkuu mpangilio wa vyumba nao embu tengeneza kona kona kwenye nyumba mtu asielewe haraka
Unataka uingilie wapi jikoni au chumbani? Nyumba zenyewe ndogo vyumba vitatu/vinne huwezi kuweka 'hallway'
 
Back
Top Bottom