Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Wakuu Mhesh Rais Dr. John Magufuli Atakuwa Na Ziara Ya Siku Mbili Mkoani Mwanza Kuanzia Kesho 30/10/2017. Malengo Ya Ziara Hiyo Kuboresha Uchumi Wa Nchi Kwa Kufungua Miradi Mikubwa Minne.
Ratiba Ya Ziara Hiyo Kwa Mujibu Wa RC John Mongela Ni Kama Ifuatavyo:
1) Siku Ya Kwanza
(a) Uzinduzi Wa Daraja La Furahisha Lililojengwa Mahsusi Kurahisisha Mawasiliano Kati Ya Waenda Kwa Miguu Na Vyombo Vya Moto.
(b) Uzinduzi Kiwanda Cha Sayona Drinks Ltd Nyakato.
2) Siku Ya Pili
(a) Uzinduzi Wa Victoria Moulders And Polybags Huko Maeneo Ya Igogo
(b) Uzinduzi Kiwanda Cha Dawa Cha Prince Pharmaceutical Industry Maeneo Ya Buhongwa.
Mkuu Wa Mkoa Ameomba Wananchi Na Wadau Kutoa Ushirikiano Wa Kutisha Ili Kufanikisha Ziara Hiyo Muhimu Katika Kutimiza Azma Ya Kuifanya Tanzania Iwe Nchi Ya Viwanda.
Mhesh Rais Magufuli Hongera Na Tunakutakia Ziara Yenye Mafanikio Makubwa.
Karibuni.
Boniphace. N.Kichonge
Kada- Mzalendo.
Arusha
2017/10/29