Gazeti la Serikali Habari leo la 25/10/2017 limeandika habari ya kusikitisha katika mfumo wetu wa elimu ambapo wanafunzi 1,194 walichaguliwa Sekondari 2015 lakini wakiwa hawajui kusoma, kuandika...
Itv ni moja ya kituo cha television kilichokuwa kizuri mno hasa kwenye eneo la taarifa ya habari hapa chini. Ulipokuwa unaikosa hiyo taarifa inakuuma sana moyoni.Ila kwa kipindi hiki kituo hiki...
Gazeti la DarLeo linaandika habari hii ya maisha ya msichana Odillia Mikka (15) ambaye alikuwa ni hausigeli jijini Dar nyumbani kwa mzee Naftali Chacha (60) na kudaiwa kuanza kuwawangia.
Baada...
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Saitoti Kimaki Mkazi wa mtaa wa Msaje wilayani Handeni amefariki dunia huku wengine watano wakijeruhiwa vibaya baada ya gari ndogo aina ya Noah waliyokuwa...
Imezoeleka sana.
Nyama huenda sambamba na nyama choma ama kitimoto au kuku choma au rosti! Na mtu akishalewa anakuwa anapenda sana vyakula vya mafuta mafuta.Ndivyo ambavyo hushuka kooni vizuri...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Luhaga Mpina amemepiga marufuku mifugo inayokamatwa kwenye hifadhi mbalimbali nchini kupigwa mnada bila maafisa mifugo kuipima na kujiridhisha ili kuepuka kuenea kwa...
Wakuu habari zenu, mnasoma uzi uu lakin tuwe makini tuone kuna ukweli,
Magufuli ni rais ambaye tumempokea kwa mikono miwili na ni rais mchapakazi hatuna ubishi na ilo,
Kuna mambo ambayo pamoja na...
Wakuu Mhesh Rais Dr. John Magufuli Atakuwa Na Ziara Ya Siku Mbili Mkoani Mwanza Kuanzia Kesho 30/10/2017. Malengo Ya Ziara Hiyo Kuboresha Uchumi Wa Nchi Kwa Kufungua Miradi Mikubwa Minne...
Baba unamhitaji akulinde wakati huo huo unamuogopa, sasa huwo ugomvi kati ya hivyo viwili ndivyo vinavyofanya watu wengi kuchangikiwa maishani mwao wawapo wakubwa, wengi wa Watanzania wamelelewa...
MAPAMBANO ya serikali dhidi ya rushwa, yametajwa kuipaisha Tanzania mbele ya wafanyabiashara na wawekezaji wa nje wakiwamo wa Ujerumani, ambao baadhi wameonesha nia ya kuwekeza katika madini...
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), imeanza kulima majani aina ya lusini ambayo ni chakula cha Faru
Fausta ili kupunguza gharama za kumtunza mnyama huyo.
Faru Fausta mwenye miaka 54...
Nimebahatika kupanda hilo bus leo J2 kutoka Moshi to Dar,driver anaitwa Omari nambari ya gari ni T430DDJ.
Mapungufu yapo pamoja na lugha ya kuudhi inayotolewa na Conductor na Agent wa gari...
Mara Paaap...Kamanda Sirro kimyaaa, hasikiki, karibu wiki ya 3 sasa; yupo ndani ya nchi au kasafiri? Lakini awamu hii hakuna safari za nje tukimwacha Bashite! Nakumbuka mara ya mwisho kusikika ni...
Polisi wilayani ya Babati mkoani Manyara inamshikilia askari wa Jeshi hilo Kikosi cha Kutuliza Ghasia FFU, Cosmas James akituhumiwa kumuua mzazi mwenzake, Regina Daniel 23 kwa kumpiga risasi nne...
Habari zenu
Wakuu ni vyema tukumbushane kidogo mambo ya muhimu ili tusijejikuta tunapoteza kazi kizembe wakati familia zinatutegemea na mtaani kugumu.
Huyu jamaa alikuwa anafanya kazi kwenye...
Bodi ya Kahawa (T) ni shirika la umma ambalo baadhi ya majukumu yake ni:-
· Kuishauri serekali juu ya kanuni bora za maendeleo ya zao la kahawa Tanzania
· Kushughulikia...
Habari za Jumapili ndugu wana jukwaa. Leo ni Jumapili nyingine tulivu ambayo tunapata wasaa wa kukaa, kutulia na familia zetu majumbani.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwashirikisha Somo au ujumbe...