Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu wanajamvi! Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya...
12 Reactions
128 Replies
12K Views
Kama kuna funzo tunalolipata kila mvua kubwa tunapoipata ni hili la maji ya mvua. Tatizo kubwa huwa hatujifunzi somo hilo. Tuna vichwa vigumu! Mimi ni mhandisi, na najua fika kuwa Water has the...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Kiongozi wa Bunge la Seneti la Australia atangaza nia ya kujiuzulu kutokana na kuwa na Urai wa pacha wa Australia na Uingereza. Stephen Parry amesema kuwa anafikiria kujiuzulu akiamini kuwa...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Alipoondoka Hudson kipindi kiliyumba lakini kuna dada mmoja yuko kisomalisomali hivi wanamwitaga Baby Kabaye aliweza kwa kiasi fulani kukirejesha kwenye mstari. Lakini sasa yapata wiki mbili...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Ofisi hii imekuwa ikichelewesha kazi kwa makusudi huku watumishi wa ofisi hii hususan Msajili Msaidizi mwenyewe na wasaidizi wake kadhaa. Kwao ni kawaida kuprocess mortgage miezi hata land search...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Mzozo na malumbano mazito yametwala katika kikao cha Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga wakihoji upotevu wa fedha zaidi ya Shiligi Bilioni moja kati ya mabilioni kadhaa ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo ni siku ya tatu toka nilipie king'amuzi kila nikiwasha tv inaonyesha kwa sekunde chache kisha yanatokea maandishi 'no service' mjue nimelipia ili nipate habari na yanayoendelea nchini kwetu na...
1 Reactions
5 Replies
978 Views
Salaam wakuu, Wanabodi kwa mimi ninavyoona huu mfumo wa kidemokrasia kwa Afrika umeshindikana, wengi tunashuhudia vurugu na mitafaruku ambayo inaendelea Afrika kwa jina la demokrasia. Hivi...
0 Reactions
2 Replies
561 Views
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika jukwaa hili Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu Kifo ni nini? Kifo ni kitendo cha mmea, mnyama au mwanadamu kuishiwa pumuz, kwa tafsiri...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akawagonga. Taarifa zisizo rasmi watatu wamefariki hapo hapo Askari saba...
8 Reactions
234 Replies
129K Views
Haikuwa kitu rahisi Mimi kukubali kuhamia boarding / hostel kwa umri ume na stori za kipindi hicho kuhusu huko boarding. Kwa bahati mbaya mama yangu akapata nafasi ya kuongeza kisomo ktk chuo...
0 Reactions
6 Replies
757 Views
Huyu ni kijana anayependezwa naye, na sidhani kama ataacha kuhama anaye pale atakapoazimia kuhamisha serikali kuu yake Dodoma. Sina hakika sana, ila naona kitu kma hicho kuja kutokea, na hilo...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za wakati huu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kusema ukweli sijaona nia ya dhati ya wanasiasa wetu katika kulikomboa taifa letu (chama tawala vs upinzani) zaidi ya ushabiki wa simba...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
....nimeikuta mahali ....Naomba kufahamu kama hii taarifa ni ya kwel
0 Reactions
3 Replies
821 Views
Wakuu kwema humu mimi ni mteja mtiifu wa hii bank kwa muda kiasi nimekuwa nikifanya miamala yangu bila kufika tawi la bank,Nimekuwa mtumiaji wa muda mrefu wa hii bank, Leo nimefika Tawini Arusha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Angalizo: Kwa wasio na uwezo wa kusoma thread ndefu, hii haiwafai. Imelengwa kwa Zitto, wafuasi wake na wale walioguswa na ile hotuba yake ya jana kwa vyombo vya habari. Mara tu baada ya rais...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) kimenasa majahazi matatu yalisheheni magendo ya sukari na mafuta ya kula katika bandari ya Uzini yakiwa tayari kwenye majahahazi matatu kusafirishwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu kaja kuniomba ushauri afanye nini juu ya pesa shilingi laki tano aliyoikuta imezidi kwenye account yake. Yeye ni mtu wa kawaida tu, hakuwa na mtu anayemdai wala hakuna mtu kama...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwenye suala la ajira kuna umuhimu wa uzoefu, lakini pia kuna haja ya kuwapo kwa nafasi za watu wasio na uzoefu, kwa sababu ni vigumu mtu anayetoka chuoni kuwa na uzoefu wa kazi wakati hajawahi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu. Hapo tu tukiwaeleza hali ni ngumu kuwekeza Tanzania na hata mazingira ya biashara sio rafiki. Utakuta watu wanatoa povu unadhani kwa nini wawekezaji wanakimbilia nchi nyingine , ni kwa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…