muathirika wa UKIMWI, amehukumiwa miaka 24 jela kwa kuambukiza virusi vya ugonjwa huo wanawake takriban 30, licha ya kujua hali yake.
Mwanaume huyo aliyejulikana kwa jina la Valentino Talluto...
The heading above is concerned!
Kumekua na katabia kwa wanaume hususani waliopo mikoani huko nje ya dar kujiona wao ndo bora, perfect and strong zaidi ya wanaume wa dar.
Yaani ikitokea tatizo...
Kwanza awali ya yote nawaomba mods msifute Uzi huu wala kuunganisha na Uzi mwingine
Leo kama mnavyojua rais Magufuli yupo mwanza kufungua kakiwanda ka juice ka Sayona kilichopo pale kijereshi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda amewataka Viongozi wa Dini zote Waislam na Wakristo wenye matatizo yanayohitaji msaada wa Serikali ikiwemo Migogoro na Kesi kufika Ofisi kwake...
Naangalia hapa discovery channel,wanaonyesha controversies mbalimbal znazojitokeza katka tafit zao huko kwenye sayar nyingne..daah,ujue hii tabia ya mzungu kufanya utafit tokea enz hizo...
Wakuu hii hospitali ya rufaa ya st. francis Ifakara hakika kwa kwa sasa ni jipu lililoiva
huduma zimekuwa juu,
Utu haupo,
Toa pesa upate,
Kikubwa zaidi kama pesa huna hata huduma ya kwanza hupewi...
Salaam wakuu,tujitwike madani.
Wanafunzi wote wa mwaka wa tatu (MD) katika chuo cha Saint Francis (chuo shirikishi cha Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT)) kilichopo Ifakara Morogoro...
Serikali ya Tanzania kupitia Jeshi la Polisi limewaachia huru na kuwarejesha nchini kwao Wanasheria watatu raia wa Afrika Kusini waliokuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za kuhamasisha mapenzi ya jinsia...
Ni muda muafaka sasa wa mimi SONGOKA kwenda Zimbabwe, sababu ninazo na nia pia ninayo. Mimi si wa kwanza kufanya uamuzi huu, natambua mwanamuziki ROMA tayari keshatangulia, hivyo nitakuwa wa pili...
Mwaka 2013 pekee China iliwekeza zaidi ya Dola bilioni 2.17 katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania ikiwemo sekta za uzalishaji, uchukuzi, nishati, madini, usafiri, mawasiliano na utalii...
Embu tujadili kwa hoja juu ya sadaka ya kweli ya Watanzania kutoka hapa tulipo kwenda pale tunapotamani tangu enzi!
Je, Rabi, mtume, nabii wa kweli kasha kuja?
Nimeangalia taarifa ya habari jana na kumuona Waziri wa Tamisemi akiwa ametembelea hiko kituo na kuelezwa hasara na uharibifu mkubwa uliojitokeza kutokana na kituo hiko kuzingira na maji...
Wadau wa elimu na wote wenye kupenda elimu tanzania,muda mfupi uliopita pamemalizika mkutano fulani wa chama cha walimu ngazi za juu.
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya uaminika inasemekana...
Washtakiwa wanadaiwa walikamatwa katika Ukanda wa Bahari ya Hindi upande wa Tanzania.
Dar es Salaam. Raia 10 wa Iran na Watanzania wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
Nakupenda mama Yangu
Nakumiss kupita maelezo
Lakini Mungu wa mbinguni ndie aliekupenda zaidi, natumaini kukuona siku ya mwisho ya parapanda
Mungu awatie nguvu wale wote walioondokewa na wazazi...
Ndugu wana board,
Salaam kwenu.
Tunasikitika kuwa na msiba wa ndugu yetu (Mtanzania) uliotokea Marekani (USA) weekend hii.
Ninaomba kujulishwa kama kuna anayefahamu utaratibu wa kuzika mwili...
Paroko Mwinuka amesema kabla ya wizi, walimfunga kamba yeye na msaidizi wake. Pia, walimpiga mlinzi aliyekuwa zamu.
Dar es Salaam. Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamevamia makazi ya paroko wa...
Wanajavi wenzangu tu wekane sawa. Hi dhani ya kwambia wananchi Rais katoa hela ya mradi fulani, au ujenzi wa barabara au chochote kile chamaendeleo imekaaje hapa? Ina maana siku hizi serekali...