Zanzibar siyo Tanzania. Unaposema Tanzania ni huku kwetu. Ila hii imefanywa siri watu wasijue.
Kama Zanzibar ni Tanzania why Number plate za gari zitofautiane???
Una idea lakini mambo mengi umebwabwaja as if hata structure ya muungano wa Tanzania huujui. Ili zanzibar iwe nchi imemiss mambo mengi tuu ivo haiwezi kuwa nchi na wala haitambuliki kama nchi. Kama mashirikisho hata ya michezo kama FIFA na CUF they do not recognize Zbar as Nation halafu ww unataka kuwaamisha nini watu???Zanzibar siyo Tanzania. Unaposema Tanzania ni huku kwetu. Ila hii imefanywa siri watu wasijue.
Zanzibar ni nchi km nchi zingine ndiyo maana kuna raisi, mawaziri, mahakama zake n.k
Unakumbuka kipindi kile Raisi wa Zanzibar anaambiwa ilipe deni la umeme la sivyo wanaikatia?
Ushuru ni lazima ulipe kwasbb hiyo nchi nyingine
*Kuna nchi yyte duniani ina maraisi wawili? Haipo
Ukisema naenda Tanzania ni huku kwetu kwa Kikwete yaan bara ila ukisema unaenda zanzibar ni kwa shekh.
-Km siyo nchi kwann ina raisi?Una idea lakini mambo mengi umebwabwaja as if hata structure ya muungano wa Tanzania huujui. Ili zanzibar iwe nchi imemiss mambo mengi tuu ivo haiwezi kuwa nchi na wala haitambuliki kama nchi. Kama mashirikisho hata ya michezo kama FIFA na CUF they do not recognize Zbar as Nation halafu ww unataka kuwaamisha nini watu???
Zanzibar ina Sarafu/ Pesa??? Zanzibar ina Majeshi??? If not kwanini uiite nchi?????
The concern ni kwamba. Katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuna mambo yapo shared na kuna mambo yanafanyika na individual state. Inapofika kwenye mambo ya Ushuru wa forodha Zbar inajitegemea yenyewe. Hivyo kwa gari ambalo lipo legisterd under Zanzibar Territory likija Main Land lazima lilipe ushuru. Thou kuna grace period ya kutembea free ila baada ya muda unatakiwa ulipie
Kama ujui mkuu zanzibar ina majeshi yake yanayojitegemea kmkm,jku,valantiaUna idea lakini mambo mengi umebwabwaja as if hata structure ya muungano wa Tanzania huujui. Ili zanzibar iwe nchi imemiss mambo mengi tuu ivo haiwezi kuwa nchi na wala haitambuliki kama nchi. Kama mashirikisho hata ya michezo kama FIFA na CUF they do not recognize Zbar as Nation halafu ww unataka kuwaamisha nini watu???
Zanzibar ina Sarafu/ Pesa??? Zanzibar ina Majeshi??? If not kwanini uiite nchi?????
The concern ni kwamba. Katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuna mambo yapo shared na kuna mambo yanafanyika na individual state. Inapofika kwenye mambo ya Ushuru wa forodha Zbar inajitegemea yenyewe. Hivyo kwa gari ambalo lipo legisterd under Zanzibar Territory likija Main Land lazima lilipe ushuru. Thou kuna grace period ya kutembea free ila baada ya muda unatakiwa ulipie
Alichoandika yupo sahihi kbsa sabb amefundishwa hivyo na kwenye vitabu vimeandikwa hivyo kwahiyo alichofanya ni kuamisha au kuandika kile alichofundishwa lkn ukitumia akili ya kuzaliwa ina goma kbsa kuwa zanzibar siyo nchi.Kama ujui mkuu zanzibar ina majeshi yake yanayojitegemea kmkm,jku,valantia
Sina muda wa kubishana na wewe. Ungeelewa muundo wa nchi kwa kutumia knowldge ya CIVICS ya form 1 hadi form four ungejua.-Km siyo nchi kwann ina raisi?
-Nchi gani ina maraisi wawili?
*Suala la fedha ni mali ya wakoloni kwahiyo siyo ajabu kukashare fedha.
-Unajua historia ya zanzibar au mapinduzi ya zanzibar?
Uliyoandika ni ubatili mtupu hata mtoto wa darasa la kwanza anajua umeandika m**********v*****
Huu ujinga wa kukaririshwa km ule uliokuwa unaambiwa dunia duara kwa sasa haupo.
Tanganyika ni nchi na zanzibar ni nchi kwahiyo zilivyoungana tukapata Tanzania lkn hizi ni nchi mbili na zitabaki kuwa nchi ndiyo maana unaona zanzibar kuna raisi na sheria zake na Tanganyika (Tanzania) nako kuna raisi na sheria.
Ukinunua kitu zanzibar unalipa ushuru kwann? Si ni nchi moja unalipa ushuru wa nn?
Kwann nikiagiza mfano TV dar au moro mpaka mbeya silipi ushuru? Why iwe zanzibar nalipa ushuru?
-Unafahami kipindi cha nyuma kwenda zanzibar mpaka uwe na passport?
-Kwann uchaguzi usiwe mmoja tu wa kumteua raisi?
Juzi hapa zanzibar walitoa tamko kuwa atakayeonekana anakula hadharani anaadhibiwa. Kwann isiwe nchi nzima ni zanzibar.
Acha kulishwa matango pori na ww ukayabebelea ukaanza kula. Hakuna nchi yyte ile duniani yenye maraisi wawili. Pole sana. Ww endelea kuamini hicho ulichokaririshwa
Zanzibar ni nchi kama nchi zingine ina raisi, majeshi, mahakama, magereza, n.k
*hakuna nchi yyte duniani yenye maraisi wawili*
Hayo majeshi yanashughuka na nini
Pole sana. Kumbe unaongelea Civics mnayokaririshwa madarasani tena kwa lugha ya mkoloni.Sina muda wa kubishana na wewe. Ungeelewa muundo wa nchi kwa kutumia knowldge ya CIVICS ya form 1 hadi form four ungejua.
Ipo wazi hata watoto wanajua
Kuwa TANZANIA UR Ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Baada ya muungano kuna mambo yakawa ya muungano na baadhi yakawa sio ya muungano.
Mf. Majeshi na fedha ni mambo ya muungano.
Ila suala la elimu, Mahakama, afya na Mapato ni suala na kila upande.
Kama unasema zanzibar ni nchi yenye mamlaka kamili kwa nn wabunge wa Zanzibar wanaenda dodoma?? Wanaenda kugundua nn.????
Nakupa task ndogo. Kajifunze maana ya maneno haya. NATION, COUNTRY na STATE
Kutokujua maneno haya ndio maana una misimamo ya kipumbavu ambayo hata watoto wanaosoma maarifa ya jamii wawawezi kukubali. Hizi ndo hasara kuwapeleka watoto kusoma Uganda eti wapo ughaibuni wanasoma.
Pia kuna mafunzo uku bara ni magereza tena kwa kuongezea zanzibar ina mamlaka yake kamili baraza la wawakilishi, spika, bendera yake ile ni nchi kamili ndio maana ikaitwa serikali ya mapinduzi zanzibar yaani smz!Kama ujui mkuu zanzibar ina majeshi yake yanayojitegemea kmkm,jku,valantia
Nisaidie kujibu haya maswali.Pia kuna mafunzo uku bara ni magereza tena kwa kuongezea zanzibar ina mamlaka yake kamili baraza la wawakilishi, spika, bendera yake ile ni nchi kamili ndio maana ikaitwa serikali ya mapinduzi zanzibar yaani smz!
Siyo majeshi ni vikosi vya serikali ya mapinduzi ya zanzibar [vikosi vya smz]Kama ujui mkuu zanzibar ina majeshi yake yanayojitegemea kmkm,jku,valantia
Kama ina mamlaka yake kamili kwanini wabunge wanatoka huko wanakwenda bungeni Dodoma? Kwanini wasiende hapo hapo chukwani kujichanganya na wawakilishi? Za kwako changanya na za kuambiwa.Pia kuna mafunzo uku bara ni magereza tena kwa kuongezea zanzibar ina mamlaka yake kamili baraza la wawakilishi, spika, bendera yake ile ni nchi kamili ndio maana ikaitwa serikali ya mapinduzi zanzibar yaani smz!
Zanzibar si nchi, ilikuwa sovereign state kabla ya muungano, baada ya muungano sio free state tena, kama huamini ulizia, zanzibar ilikuwa na sarafu yake ilitumika sana tu, lakini baada ya muungano imepotelea wapi?Ukiwa bara uwezi jua kuwa zanzibar ni nchi ila ishi kule japo miez 2 utajua mambo ya kule na huku ni vitu tofauti kabisa yaan usiku na mchana usidanganywe na maandishi vitabuni!