mtr96
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 246
- 187
Wakuu hii hospitali ya rufaa ya st. francis Ifakara hakika kwa kwa sasa ni jipu lililoiva
huduma zimekuwa juu,
Utu haupo,
Toa pesa upate,
Kikubwa zaidi kama pesa huna hata huduma ya kwanza hupewi
Kinachonishangaza zaidi ni jinsi huduma za hapo zinapojali pesa kuliko utu.
Ili hali tumeaminishwa kuwa hii ni hospital ya kanisa katoliki
NB
Ni bora isiitwa st. Francis
Bali iitwa jina lolote ili watu wajue wanaenda kwa hospital ya mtu binafsi.