RC Makonda: “Sitaki kuona kiongozi wa dini anasumbuliwa”


Donatila

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Messages
3,092
Likes
4,071
Points
280
Age
28
Donatila

Donatila

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2014
3,092 4,071 280
196c8433-dd15-4885-a2c4-bf2df9b03772-750x375.jpg

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda amewataka Viongozi wa Dini zote Waislam na Wakristo wenye matatizo yanayohitaji msaada wa Serikali ikiwemo Migogoro na Kesi kufika Ofisi kwake ili yaweze kupatiwa ufumbuzi.

RC Makonda amesema hayo wakati wa Ibada ya uzinduzi wa Kanisa la KKKT Ubungo iliyoenda sambamba na Jubilee ya Miaka 500 ya Ujenzi wa Kanisa.

Amesema kuwa Viongozi wa Dini wanafanya kazi kubwa ya kiroho katika kuijenga Jamii Bora hivyo hawapaswi kuzungushwa na Watendaji wa Serikali pale wanapohitaji kuhudumiwa kwakuwa thamani ya kazi wanayoifanya ni kubwa.

“Mimi sio Mkuu wa Mkoa bali mimi ni Mtumishi wa Mungu katika Ofisi ya Mkoa wa Dar es salaam, Niwaombe Viongozi wote wa Dini Dar es Salaam sasa hivi msiangaike mkiwa na kesi kwenda kwa Wenyeviti wa Mtaa au Watendaji wa Mtaa, mkiwa na tatizo lolote njooni Ofisin kwangu, mimi ndio nitawatafuta hao, nisingependa kuona Kanisa au Msikiti wanasumbuliwa na Migogoro isiyoeleweka kwa misingi ya watu fulani, njoo kwenye Ofisi yangu matatizo yenu nitayamaliza mimi kwa niaba ya Rais,” alisema Makonda.

Aidha RC Makonda amepongeza kanisa la KKKT Ubungo na washarika kwa Ujenzi wa Kanisa la Kisasa na kuwaomba kushirikiana katika kuijenga Dar es Salaam Mpya.

RC Makondaamewasihi Viongozi wa Dini kuendelea kuombea Taifa na Viongozi wake akiwemo Rais Dkt. Magufuli.

Kwa upande wake Askofu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dkt. Alex Malasusa amesema kazi anayofanya RC Makonda ni njema na inampendeza Mungu na kumtia moyo aendelee kuwatumikia Wananchi wa Dar es Salaam.

Katika ibada hiyo RC Makonda ameahidi kumnunulia Seti nzima ya Vifaa vya Mziki kwa mmoja wa Watoto katika kwaya ya Watoto katika kanisa hilo kwa kuonyesha kipaji cha kutumia vifaa hivyo kitendo kilichombariki RC Makonda.


Dewji
 
chikutentema

chikutentema

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
6,633
Likes
1,296
Points
280
chikutentema

chikutentema

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
6,633 1,296 280
Una maana kanisa limejengwa kwa muda wa miaka 500
 
Gerasmus

Gerasmus

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Messages
402
Likes
340
Points
80
Gerasmus

Gerasmus

JF-Expert Member
Joined May 23, 2016
402 340 80
Una maana kanisa limejengwa kwa muda wa miaka 500
Amenukuu vby, nijuavyo mim kanisa la kiluteri popote walipo duniani wanaadhimisha jubilee ya miaka 500 toka kuanzishwa kwao na padri Martin Luther, jambo ambalo hujulikana kama "matengenezo ya kanisa" na kwa mujibu wao, hawashangilii kujitenga na kanisa katoliki bali urithi mkubwa wa imani yao walioupata toka kanisa hilo na umoja na udugu vinavyozidi kushamiri kila uchao, tunawatakia sherehe njema popote walipo maana hata wao walitutakia kila la heri tulipotimiza miaka 2000 toka kuanzishwa kwa kanisa letu na Bwana Yesu....
 
N

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
6,221
Likes
6,451
Points
280
Age
58
N

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2016
6,221 6,451 280
Tutafanya hivyo mtumishi Makonda
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,779
Likes
25,180
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,779 25,180 280
Mbona yeye anamsumbua Gwajima mpaka anampachika madawa ya kulevya? shame CCM
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
24,824
Likes
22,485
Points
280
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
24,824 22,485 280
screenshot_2017-10-30-19-52-10-png.620840


Makonda ni muhimili wa nne
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
30,649
Likes
17,509
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
30,649 17,509 280
Kamka na hangover toka élément

Ova
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
18,259
Likes
29,972
Points
280
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
18,259 29,972 280
Dar Es salaam haijawahi kupata RC mchapakazi walau wa robo ya Makonda tangu Dunia kuumbwa
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
8,542
Likes
9,860
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
8,542 9,860 280
Kwa Walimu na Wazee alishindwa ndio ataweza kwa Viongozi wa Dini.
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
8,542
Likes
9,860
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
8,542 9,860 280
Gwajima aende akamuone Ofisini kwake.
 
C

Carpensis

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
564
Likes
336
Points
80
Age
48
C

Carpensis

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
564 336 80
Duh! Ama kweli nimeamini wingi wa Konda ni Makonda
 

Forum statistics

Threads 1,236,249
Members 475,030
Posts 29,251,664