Hali si shwari katika chama cha Walimu

Hali si shwari katika chama cha Walimu

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
4,777
Reaction score
6,269
Wadau wa elimu na wote wenye kupenda elimu tanzania,muda mfupi uliopita pamemalizika mkutano fulani wa chama cha walimu ngazi za juu.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya uaminika inasemekana kumetokea sintofahamu kuhusu chama hicho kukaa kimya muda mrefu kutoana na madai mbalimbali ya wanachama wake.

baadhi ya wajumbe wamehoji kwa nini chama kinakaa kimya bila ya kuikumbusha serikali kuhusu madai mbalimbali ya wanachama,ilhali wanachama ndio walikiweka chama hicho madarakani na kinaishi kutokana na michango yao. Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza kutoa ndani ya chama.

Walimu haki na wajibu.
Mwisho.
 
Hicho chama hakina nguvu yeyote ya kudai stahiki zao, mtaambiwa kama hamtaki kazi muache, mtaufyata
 
Kitu gani kimeondoa shwari kwenye chama cha waalimu? Kuna mtu kamtia kibao mwenyekiti kwa kutotimiza wajibu wake? Au kuna tamko lolote kali lililotolewa?Mbona thread inaonesha hali ni poa tu.
 
Kama kuna vyama vya kisanii hiki ni mojawapo! Hakijui hata matatizo na changamoto wanazokumbana nazo wanachama wake! Kinajali michango na marejesho tu ya mishahara duni ya walimu. Bila shaka litakua tawi la serikali hili!
 
Back
Top Bottom