Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani tulisema kuna hila zimefanyika huku Mikoani katika kuwapata Wadadisi Mapato na Matumizi Kaya binfsi (HBS). Hadi tarehe ya mwisho kutuma Maombi ya kazi hiyo (tarehe 12/08/2017) kwenye...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi nyie viongozi wa manispaa ya ilemela mpo? haya mavifusi mliyomwaga hii barabara ya buswelu hamyaoni? Leo takribani siku ya 5 njia imejaa mavifusi kuanzia kona bar hadi inapoanzia lami kule...
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Habari, Naomba niende moja Kwa moja ktk hoja yangu.Mimi ni mteja wa bank ya CRDB ila naomba Kwa anayefahamu,Kuomba card mpya kuna gharama yoyote???Kadi yangu inakwisha muda wake mwezi wa 11 na...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Mungu ni mwema sana Hali ya Mbunge , Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambaye pia Raisi wa TLS Mheshimiwa Tundu Lissu imeendelea kuimarika...na sasa anaweza kula mwenyewe... Hakika Mungu Mwema sana...
16 Reactions
65 Replies
10K Views
Wakata Umeme siku 2 bila taarifa kisa viwanda viwili Kamaka na kingine waleta shida kwa wananchi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkazi wa Mbuyuni Mbeya ahukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua kwa kukusudia mke wake, kisa wivu wa mapenzi. ITV
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara ya kwanza kwa wapenzi wa bibilia haya mambo yalitokea na kushamiri pale watu walipomkataa Mungu. Mwisho wake ukafupishwa na stori za sodoma na gomora. hii imefafanuliwa vizuri ktk kitabu cha...
13 Reactions
116 Replies
11K Views
Kuna jambo nimeshindwa kulielewa wakuu!! Hii bomoa bomoa inayoendelea sasa ambapo Nyumba zilizopo mita 125 kila upande Wa barabara INA malengo gani hasa? Ninauliza kwa sababu hakuna namna ambayo...
2 Reactions
89 Replies
7K Views
Habari za muda huu wana JamiiForums wote, Kichwa cha thread cha husika, Nimekaa nakufikiria kuhusu hili jambo kwa kina sana, hivi inawezekana binadamu kuishi bila siasa kweli? Nauliza hili...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Babu zetu waliteswa sana na wakoloni na hasa waarabu lakini wazee hawa hawakuweza kuutumia ushirikina wao katika kulipiza visasi kwa wakoloni? Kama hivi leo mtu anaweza kumchukua mwingine kuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni st francis university college of health and allied science(kilichopo ifakara,morogoro). 1.Kuhusu usanii. Hili ndio jambo la hatari zaidi,huwezi amini kwenye chuo...
2 Reactions
96 Replies
12K Views
MABADILIKO MADOGO YA EXPRESS: Taarifa kwa abiria wetu wa usafari wa haraka (UDART). Kuanzia kesho Novemba 1, 2017, magari yote yanayotoa huduma ya EXPRESS kutoka Kimara kwenda mjini nyakati za...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Nyie mnaotea otea na kukisia tu, lakini yeye kama Raisi wa nchi na mkuu wa Ulinzi na Usalama vile vile kama Mkuu wa CCM anajua kinachoendelea chini chini kabla hata nyie mnaomtegemea Mangi Kimambi...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Kwa kweli nia ya dhati ya mheshimiwa Rais ya kunyoosha nchi inahujumiwa sana na watendaji wake. Leo napenda kuonesha madhaifu ya NECTA kutokana uzoefu wangu. i) Usimamizi wa vituo vya mitihani...
0 Reactions
2 Replies
866 Views
Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), amegonga basi la mwendokasi na kusababisha madhara kwa abiria na basi, huku akikimbia na kutelekeza gari alilokuwa akiliendesha. Tukio hilo limetokea...
6 Reactions
154 Replies
18K Views
Wakuu heshima zenu, Hapo zamani kabla ya zuio la makinikia, serikali kupitia wizara ya nishati na madini, ilikuwa inaruhusu usafirishaji wa vifurushi au michanga ya madini nje ya nchi. Vifurushi...
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Viongozi mbalimbali wa upinzani tanzania wamekuwa wakifurahishwa sana kuwekwa ndani na vyombo vya serikali kwani ni ishara kuwa sindano imewachoma vibaya serikali na kuchukua hatua ya kuwaweka...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Kukosekana kwa kiongozi yeyote wa Chama cha upinzani huko Mwanza katika ziara ya raisi Magufuli kumewakosesha hela ambazo alitaka awachangie Chama pinzani Kama alivyofanya kwa Chama chake cha ccm...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika nchi yeyote, uongozi uliopo madarakani ukipita mipaka katika kuwatumia Polisi kukamata kamata viongozi wa siasa kwa sababu ya vikosa vidogo vidogo au mara nyingine shutuma zisizo na msingi...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…