Zanzibar kupiga marufuku ndizi toka Tanzania bara


R

RANCO TZ

Member
Joined
Aug 26, 2014
Messages
9
Likes
4
Points
5
R

RANCO TZ

Member
Joined Aug 26, 2014
9 4 5
Leo zimezuiwa ndizi zenye thamani ya Tzs 5,000/= Maafisa wamesema serikali imezuia uingizwaji wa ndizi toka bara sababu kuwa zina wadudu wanaosababisha maradhi. Hajafafanua maradhi hayo aina gani.

Hivyo nimelazimika kuziacha bandarini chakula changu pendwa ndizi Bukoba. Naishauri Serikali ya Zanzibar kutoa taarifa na kubandika taarifa hizo katika kuta za matangazo bandarini Dar es Salaam and Zanzibar.

Ajabu ni kuwa wakati natoka nje ya bandari naona kuna Wazanzibar wameshikilia ndizi mzuzu kutoka bara na hawajazuiliwa. Nilitaka kuwauliza walikuwa wakali sana.

Naomba kama kuna wataalam wa afya au mwenye taatifa hizi za kiafya anipe faida nami na familia yangu tupate kuzifaham
 
Fideliiiz

Fideliiiz

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2016
Messages
376
Likes
207
Points
60
Age
47
Fideliiiz

Fideliiiz

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2016
376 207 60
Kaaaaazi kwelkwel
 
Membejr

Membejr

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Messages
1,888
Likes
1,416
Points
280
Membejr

Membejr

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2017
1,888 1,416 280
Duuuh! Ama kweli hii ndoa ngumu hapo nadhani reason zao haziuziki
 
denoo49

denoo49

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
6,028
Likes
6,044
Points
280
denoo49

denoo49

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
6,028 6,044 280
Aisee Ndizi za buku 5?
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
30,997
Likes
6,428
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
30,997 6,428 280
Wakatae na nyanya basi (tunguja) au zenyewe hazina ugonjwa???
 
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Messages
1,859
Likes
1,640
Points
280
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2015
1,859 1,640 280
Bara nayo ijibu mapigo kwa kuzuia ubuyu, hiriki, karafuu, mwani, na mdalasini kutoka Zanzibar, vina fungus.
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
54,363
Likes
45,177
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
54,363 45,177 280
Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Zanzibar.
 
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Messages
1,859
Likes
1,640
Points
280
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2015
1,859 1,640 280
Ikimaliza ihamie kwenye malashi na vipodozi vinavyopitia Zanzibar kuja bara, vina viambata vya sumu.
 
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
5,578
Likes
2,957
Points
280
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
5,578 2,957 280
Nchi inaishi kwa kutegemea biashara ya ubuyu alafu bado wanakua wababe!!
 
Super women 2

Super women 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Messages
4,860
Likes
5,731
Points
280
Super women 2

Super women 2

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2016
4,860 5,731 280
Tumefikia huku tz
 
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,255
Likes
15,370
Points
280
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,255 15,370 280
Wapige marufuku vyakula vyote tuone kama wataishi kwa mihogo na urojo
Thubutu kama hujaona Cargo Flight zinatoka Oman zinapeleka chakula.....
 

Forum statistics

Threads 1,238,898
Members 476,226
Posts 29,336,079