Aliyekuwa Mbunge Lazaro akiwa na Mwanasheria Tundu Lissu baada ya kumtembelea hospital Nairobi leo


Francis12

Francis12

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Messages
6,951
Likes
18,476
Points
280
Francis12

Francis12

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2016
6,951 18,476 280
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mhe Lazaro Nyalandu akiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu baada ya kumtembelea hospital Nairobi wanavyoonekana kwa tabasamu na misingi ya utu uliojengeka mioyoni mwao.
img-20171101-wa0012-jpg.621947

====UPDATES
Baada ya Lazaro Nyalandu kumtembelea Tundu Lissu ameandika ujumbe huu.
MUNGU akuangazie NURU za USO wake na kukupa amani kaka yetu mpendwa [HASHTAG]#TunduLissu[/HASHTAG]. Akakuponye majeraha na maumivu yako na kukufanya Taifa kubwa. Kwa wote wanakuombea na kukupenda, ikawe heri kwao, na kwako iwe AMANI, UPONYAJI, na mafanikio. Utukufu ujao uwe Mkuu kuliko ule wa awali. [HASHTAG]#AmaniIweNawe[/HASHTAG] [HASHTAG]#MunguIbarikiTanzania[/HASHTAG] [HASHTAG]#LetLoveLead[/HASHTAG].
 
Iyegu

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Messages
6,301
Likes
12,167
Points
280
Iyegu

Iyegu

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2014
6,301 12,167 280
aisee
 
K

kidodosi

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Messages
1,851
Likes
751
Points
280
Age
44
K

kidodosi

JF-Expert Member
Joined May 1, 2013
1,851 751 280
iko poa sana!!!
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
21,795
Likes
46,625
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
21,795 46,625 280
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mhe Lazaro Nyalandu akiwa Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu baada ya kumtembelea hospital Nairobi leo.
View attachment 621947
Sipati picha Jaramogi Pingili Mbili na mwanae wakiiona hii Picha wataropoka nini
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
103,358
Likes
453,120
Points
280
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
103,358 453,120 280
Ila ingekua enzi za dokta slaa pasingekalika kwa kelele zenye fact. Ila kwa sasa ni sawa na yanga kumsajili ngasa kwa mbwembwe kubwa na tambo kede wakati kipaji kishafikia ukingoni
 
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
15,401
Likes
8,472
Points
280
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
15,401 8,472 280
Nyalandu anatumia ugonjwa wa Lisu kupata media attention; kama kawaida yake, misiba, wagonjwa na ajali.
 
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
7,515
Likes
16,619
Points
280
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
7,515 16,619 280
Nyalandu anatumia ugonjwa wa Lisu kupata media attention; kama kawaida yake, misiba, wagonjwa na ajali.
Eti na wewee Mwanasheria..
Mwanasheria gani ambae unaona aliyotendewa Lissu ni sawa..!?
Shubaammiitt.
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
14,063
Likes
11,850
Points
280
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
14,063 11,850 280
Kuna watu wana karibia kupasuka.
Milango ya mahakama. IPO wazi
Ila haki itendeke.
 
A

Augustino Fanuel Massongo

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2016
Messages
1,282
Likes
643
Points
280
A

Augustino Fanuel Massongo

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2016
1,282 643 280
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mhe Lazaro Nyalandu akiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu baada ya kumtembelea hospital Nairobi wanavyoonekana kwa tabasamu na misingi ya utu uliojengeka mioyoni mwao.
View attachment 621947
Nyarandu ana neema sana ya kupata elevator kupitia walio mahututi.
 

Forum statistics

Threads 1,213,872
Members 462,337
Posts 28,493,389