KILLANEKELI
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 295
- 123
Kwa habari nilizozipata kutoka Iringa ni kwamba Chifu wa Wahehe, Abdul Adam Sapi Mkwawa amefariki dunia jioni ya Jana.
Poleni sana wahehe, poleni sana wanakalenga na Iringa kwa ujumla.
Pia soma
Rais Kikwete aongoza mazishi ya Chifu Mkwawa mkoani Iringa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Chifu mpya waWahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa, Kijiji cha Karenga leo Februari 16...