Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
Naam, nasema tena huyu jamaa ni mtu social sijapata kuona, ukitazama kuanzia nyumba anayoishi,Gari anayoendesha,Nguo anazovaa watu anaozungukwa nao, sidhan kama kuna bilionea mwingine hapa duniani anaishi maisha anayoishi huyu jamaa,
Mark mpaka sasa ana utajiri upatao UDS 74.7 Billion ambazo ni kama shilingi trilion 196 hivi uki convert kwa 2248 tsh lakini jamaa bado nashangaa hivi hahofii hata usalama wake kwa jinsi anavyojichanganya na watu hivi, pengine wakuu mnieleweshe hapa kwenye usalama wake...