Je, madaraja ama vyeo kupanda Novemba?

Makolate

Member
Jul 3, 2017
12
9
Wakuu naomba kuuliza je nikweli baadhi ya watumishi wa umma watapandishwa madaraja mwezi huu. Nauliza hivi kwakuwa wapi wanaosema Mhe.Rais atapandisha madaraja mwezi huu kwa watumishi elfu 59 na ushee.... Je nasi waalimu tutabahatika kupanda vyeo.

Hali ni ngumu sana wadau.

Ni mm mwalimu mtiifu Mr. M
 
Mkuu, jipatie muda tu utafakari ahadi za nchi hii alafu usikomenti chochote. Usiache kufikiria 50M kila kijiji
 
Tena matumaini ya kijinga.
Ya kijinga kwakweli, nliona tu shwangwe za mei mosi wakamshangilia wee holaa, wakajipa matumaini mwaka mpya wa fedha july holaa, imebaki sasa kukaa masikio juu kama sungura kusikilizia ahadi za uongo.....

Mtumishi akisubiri ahadi ya mshahara mpya ha ha ha
images.jpeg
 
View attachment 622783
Dada yangu imebidi nicheke kwakweli hayo mssikio kuna ukweli flani. Tumeathirika kisaikolojia hali ngumu sana
 
Dada yangu imebidi nicheke kwakweli hayo mssikio kuna ukweli flani. Tumeathirika kisaikolojia hali ngumu sana
Hayo mambo ya kuwaza madaraja yaondoe, fanya kazi masaa machache, uende na mtaani ukatafute hela ya mboga....
Hayo ya mshahara mpya labda ataongeza elf 20 mwaka 2020 akiwa anarudi kuomba tena kura mjiongeze jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom