mabwana
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 307
- 318
tanzania kupeleka wanyama nje kimataifa ni sawa kabisa kuna zoo kote duniani wanyamama wanatoka wapi ?afrika kuwapa wanyama nchi awana wanyama sidhani ni kama ni makosa , nakumbuka mwalimu nyerere alipelaka wanyama cuba na sweden norway denmark. hawana mbuga za wanyama wana zoo . kwa hiyo twiga ua simba taizo nini? watu wanafurahi kuona wanyama kutoka afrika