VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,611
- 13,177
Naomba kupatiwa elimu juu ya mwendo penye alama za vivuko waendao kwa miguu, nilazima upunguze mwendo hata kama hakuna anevuka?! Speed limit kiasi gani?! Barabara kuu Dar-Dododa-Rusumo boda ya Tz na Rwanza,kuna alama nyingi ni busara kweli spped 50 kila penye makazi ya watu?! Pengine nyumba hazizidi 20, porini unakupa kibao 50/kivuko watu