Akizungumza kutokea ndani ya Hifadhi ya Serengeti, ambapo amefanya ziara ya kushtukiza na kuuzunguka mpaka wote wa Mashariki ambapo hifadhi ya Serengeti inapakana na Pori la Tengefu la Loliondo...
habari wadau..
niko sehemu moja napata ka balimi kangu... kuna jamaa akawa anapondwa na wenzake kisa anafanya kazi kama bank officer crdb kwamba amewatia aibu washkaji zake waliocheza pamoja...
Wadau habari zenu!
Kuna hii michezo ya Pesa iliyokuja hivi sasa (Biko,Tatu mzuka na sport Pesa) ambayo ni michezo ya kuweka pesa ili uvune Pesa; cheza zaidi upate hata Mara mia zaidi-
Kwakweli...
Wadau naandika kutokea hapa Mbagala kwa Mtogole jirani kabisa na Hajaat FaizaFoxy! Wandugu kuna vishoka kutoka TANESCO jana walifika kwangu na kuwarubuni watoto na kuingia kwenye mita sasa...
How do children in Tanzania use technology? This issue brings us internet safety tips and shows us how young children can get innovative online!
Kindly watch this > Sema Magazine Issue 11 and get...
Ndugu zangu kuna tatizo ninalo hapa natumia king'amuzi cha DSTV ila ghafla channel zote hazioneshi hata zile za ndani ya nchi yetu. Wenye uzoefu mnisaidie maana nilisikia eti channel za ndani...
Watumishi 71 wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wanaofanya kazi katika kitengo cha mizani wamefukuzwa kazi kwa tuhuma za rushwa.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads)...
Jana tulitangaziwa kuwa mitambo ya TBC TV na RADIO itazimwa usiku wa kuamkia leo kwa saa moja ili kuweza kuwasha mitambo mipya ambayo itasaidia na kuboresha mwonekano na usikivu wa hivi vyombo...
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika yenye vivutio vingi vya utalii lakini kutokuwepo kwa sekta imara ya usafiri wa anga kumeifanya sekta ya utalii kukosa mapato.
Sekta ya Utalii inachangia...
Utafiti Wangu...ama wanawake wa Jf wana umri.mkubwa kuliko wanaume kwenye platform
Hii ndomaana imefanya wanaume wakati mwingine kuja na mada kama wanawake wa Jf wabaya,Malaya nk
Kingine wanawake...
huyu utamkuta anapesa nyingi kuliko familia au ukoo wote...
Maamuzi yote yanayofanyika bila kuhusishwa huwa ni batili...
anachokisema yeye hakiwezi kupingwa adharani kwa wanandugu au familia...
Habari zenu humu, nilikuwa naomba kuuliza kwa wenye uelewa na hili jambo, et maaskari polisi hapa tz makato yao kwenye mifuko ya jamii kama gepf, lapf nk huwa wanakatwa vipi! Kuna mtu kaniambia et...
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Migango wilayani hapa amemchapa viboko mwalimu mwenzake mbele ya wanafunzi akimtuhumu kwa wizi wa sahani tano pamoja na nusu kilo ya sukari iliyotolewa kwa ajili ya...
'Wakati ninapoomba , mara nyengine mimi hushikwa na usingizi'', alisema katika kipindi kimoja cha kanisa hilo cha TV2000 kilichochapishwa katika mtandao wa You tube.
''Mtakatifu Theresa pia...
Moto wateketeza kituo cha yatima Monduli. Watu kadhaa wakiwemo watoto wamenusurika kifo baada ya moto kuwaka na kuteketeza zaidi ya gunia sitini za Mahindi ya chakula mashine tatu za kusaga na...
Wadau kuna mambo lazima tuyajadili!!
Nani anayejua ni lini NSSF wataacha kuchaji kwa ajili ya kupita darajani? Kwa malipo ya sasa wamekadiria kwa rate hii ya sasa, itawachukua miaka mingapi...
Leo rafiki yangu mmoja kanitumia ujumbe wa kunilaumu kama
mwanahabari,anasema kuwa siku hizi si kwenye magazeti,si kwenye TV,si Redioni,habari(news),nyingi haziwakongi nyoyo,anasema habari nyingi...
Habari wadau...poleni na majukumu...jamani MTU yoyote ambae anajua utaratibu wa kutumiwa pesa kutoka nje kupitia nmb tafadhali anisaidie hata sasa hivi..