Napenda kutoa ushauri kwa uongozi Wa Tanesco makao makuu watembelee miundo mbinu ya Umeme mkubwa kutoka kidatu/kihansi (Management By Walking Around) wataona towers ziko hatarini kudondoka kwani...
MFANYAKAZI wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick Pella amevamiwa na majambazi wenye silaha na kupigwa risasi, kujeruhiwa na kisha kuporwa fedha zake jana mchana maeneo ya Tabata-Relini...
Bidhaa fake ni bidhaa ambazo ubora wake uko chini ya kiwango na hivyo ni bidhaa zisizofaa kwa matumizi ingawa kwa muonekano zinafanana na bidhaa halisi.
Tukirudi kwa binadamu,hivi binadamu wote...
Tukio hilo limetokea hivi punde na mwili wa mfanyabiashara huyo aliyeuawa haujaondolewa uwanjani hapo.
Inadaiwa walimpora dukani kwake maeneo Tabata Kimanga wakatoweka na Pikipiki na yeye...
Wizi wa majambazo wanaopora hela umeshamiri Sana Dar es salaa.Vibanda vya mpesa/tigo pesa wanaporwa kila siku.
Leo katika hali isiyo ya kawaida Dada mmoja ampigwa risasi na kuporwa hela zake saa...
Jana usiku yametokea mauwaji ya mtu mmoja mwanaume kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi katika Bar ya Kadabla iliyopo katikati ya Mbezi kwa Msuguli na Kibanda cha Mkaa.Mauwaji...
Wasalam,
Ninamdogo wangu amechaguliwa Vyuo viwili cha kwanza alichaguliwa St Augustine Mwanza na akawaame confirm mkopo wake St Augustine baadae akachaguliwa Udom lakini yeye anapenda kusoma...
Habari wakuu,
kama mada inavyojieleza,zamani Tanzania tulifana sana ktk nguvu kazi,naenda mbali zaidi...sasa Ulaya na marekani Huko viwandani,vya magari,meli,machine kubwa na ndogo,Plant za ukubwa...
Juzi ndugu yangu alitumiwa hii meseji kwenye simu yake na namba ngeni. Akapiga yule mtu akasema amekosea namba. Lakini kwa kweli iliniuma sana nikamwambie amtumie tu. SIKUWAHI FIKIRIA KWAMBA KUNA...
Tangu Serikali ya awamu ya Tano iingie madarakani na sera ya uchumi wa viwanda, upande wa upinzani umekuwa ukibeza.
Mbaya zaidi ni maneno na lugha inayotumiwa humu na wafuasi wa kauli hizo za...
Habari wa Jf wenzangu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
"Nianze kwa kusema ningekua raisi huyu waziri ningekua nimesha mtimua kazi."
kiukweli nimekua mfuatiliaji sana wa namna hii sera ya...
Shule hii imeanzishwa mwaka huu wilaya ya Biharamulo nakupewa jina la Kagango Girls' Secondary School. Lengo lilikuwa zuri la kupunguza idadi ya wanafunzi kutoka shule mama Kagango lakini baadae...
One day, Rome shall fade and crumble yet you shall always be remembered in the hearts of all who yearn for freedom ... (Spartacus finale)
"If they ever tell my story, let them say I walked with...
Akizungumza kutokea ndani ya Hifadhi ya Serengeti, ambapo amefanya ziara ya kushtukiza na kuuzunguka mpaka wote wa Mashariki ambapo hifadhi ya Serengeti inapakana na Pori la Tengefu la Loliondo...
habari wadau..
niko sehemu moja napata ka balimi kangu... kuna jamaa akawa anapondwa na wenzake kisa anafanya kazi kama bank officer crdb kwamba amewatia aibu washkaji zake waliocheza pamoja...
Wadau habari zenu!
Kuna hii michezo ya Pesa iliyokuja hivi sasa (Biko,Tatu mzuka na sport Pesa) ambayo ni michezo ya kuweka pesa ili uvune Pesa; cheza zaidi upate hata Mara mia zaidi-
Kwakweli...
Wadau naandika kutokea hapa Mbagala kwa Mtogole jirani kabisa na Hajaat FaizaFoxy! Wandugu kuna vishoka kutoka TANESCO jana walifika kwangu na kuwarubuni watoto na kuingia kwenye mita sasa...
How do children in Tanzania use technology? This issue brings us internet safety tips and shows us how young children can get innovative online!
Kindly watch this > Sema Magazine Issue 11 and get...
Ndugu zangu kuna tatizo ninalo hapa natumia king'amuzi cha DSTV ila ghafla channel zote hazioneshi hata zile za ndani ya nchi yetu. Wenye uzoefu mnisaidie maana nilisikia eti channel za ndani...