Viongozi wetu wa ngazi zote Jifunzeni kuwajibika mnapokosa msisubiri kutumbuliwa

Mwene chungu

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
916
751
4fd0b232f51ce082bb82fbb31222471e.jpg

Salute.

Natumai wnajf mu wazima wa afya!
Nimekuwa naona viongozi wengi sana wa ngazi mbalimbali wanakosea,na wanajua kabisa kuwa wamekosea lakini wanasubiri watumbuliwe!

Mimi niwashauri wawe na uwezo wa kuwajibika pale wanapoona wameshindwa kutekeleza mambo Fulani Fulani kiutendaji ili kuzipa mamlaka zinayohusika nafasi ya kuwateua,na kuwapa watu wenye uwezo wa kuzitendea haki nafasi hizo.

Na ninachojua kujiuzulu kunaonesha kukomaa kwa kiongozi(kuwajibika),kuliko kuachishwa kazi!..
 
Back
Top Bottom