Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,466
- 25,388
Wakuu zamani nilikuwa najua huu mtandao ni mtandao mahsusi kwa wale wanaoabudu shetani kwa maana nyuzi za kumtukana Mungu na kumuita Mungu majina ya ajabu zilikuwa nyingi sana
Sana sana members hawa hapa
1)Kiranga
2)Free Ideas
3) chalmton
4)kuna mmoja anaitwa ruta nn sijui alisomea mambo ya micro organisms
Pia kuna wachawi kama mtu mzito,mshana ,na kuna mchawi mwingine amezuka sasa hivi simpendi kisheeenzi linajiita rais2020