BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,813
- 3,430
Kuna MKandarasi kapewa kujenga/kurekebisha Barabara eneo la KITUNDA kuelekea MWANAGATI.Ametelekeza Mradi kumwaga vifusi Barabarani bila kukisambaza wala kumalizia kazi yake.
Hali hii imeleta usumbufu na kupanda
Kwa gharama za maisha kwa wananchi na uharibifu wa vyombo vya usafiri na kuhatarisha uhai wa wananchi kuweza kufikia huduma za afya.
Naamini wahusika wapo humu au watafikoshiwa ujumbe wetu. Tunaomba Mkurugenzi huyu awajibishwe kama wale wa Bukoba wenye makosa madogo ya takwimu kuliko huyu asiyefuatilia maeneo yake na kusaidia kutatua matatizo yetu.
Baba MAKONDA naomba ufikishe kero hii IKULU kama utashindwa pia.
Tanzania ya VIWANDA.