Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Imekuwa ni kawaida kila zinapopatikana habari za majambazi kuuawa huwa zinaambatana na taarifa kuwa walikuwa ni majambazi wa Kibiti. Inatia shaka kuwa ingekuwa zama za Zombe hata wale wafanya...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Mi nimteja wa hichi kinga'muzi lakin hivi karibun kumekuwa na kupanda kwa gharama zisizo endana na huduma wameongeza sh 3,000 kwa kifurushi cha chini kabisa kilichokuwa 15,000 na sasa ni 18,000 na...
8 Reactions
76 Replies
13K Views
Salaam ndugu wanajukwaa natumai mu wazima. Tatizo langu ni moja tu, ni tatizo ambalo limekuwa likinisumbua tangu mwanzoni mwa mwaka labda pengine jukwaa hili la madokta naweza pata ufumbuzi...
20 Reactions
140 Replies
15K Views
1979 tulimshinda Idd Amin kirahisi sababu ya mgawanyiko waliokuwa nao waganda,ukiachilia baadhi ya wachache haswa kabila lake dikteta Amini waliokuwa wanamshangilia wengi waliisaidia majeshi ya...
0 Reactions
4 Replies
859 Views
Hii chini ndio website ya Tanzania's National Board of Accountants and Auditors (N.B.A.A) tangu mwaka 2008 nilivyoiona mpaka leo hii ipo vilevile, and mark my words, mtoto wa dada yangu wa miaka...
10 Reactions
81 Replies
16K Views
Kulingana na mkazi anayeishi eneo la Tuangoma, Kongowe. Amenijuza kuwa yapata wiki moja sasa barabara ya Kilwa Road kilomita 3 kuanzia eneo la Kokoto kwenda Kongowe kumekuwa na foleni sana...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu nimefanya utafiti wangu nimegundua hapa Tanzania Jiji la pili kwa Ukubwa Tanzania halina sapoti ya serikali isipokua biashara na nguvu za wazawa ni Mwanza,wilaya tajiri na yenye pato kubwa...
33 Reactions
129 Replies
20K Views
Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Irenius Ruyobya amesema kupungua kwa mfumuko wa bei Oktoba, kumechangiwa na kupungua kwa bei za...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Hiyo Internet ya Ofisini unavyoikomoa, umefungua blogs zote kwa mpigo, YouTube, Skype, Twitter, Facebook na Unadownload Videos! Wakati boss wako siku nzima amefungua emails tu. Basi ndio hivyo...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Nimekuja Mwanza nimekuja kupunga upepo na kuangalia sehemu nzuri ya kubarizi usiku huu /kwenye twiga niwasalimie kidogo ugeni nao kazi, lakini pia mchana maeneo gani mazuri.
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Wakuu, Usiku wa kuamkia juzi niliota nimepata ajali ya ndege, ndege ilianguka baharini karibu na nchi kavu huko sudan, ilipoanguka tu nikashtuka ndoto ikaishia hapo. Usiku wa kuamkia jana...
2 Reactions
108 Replies
11K Views
Tuliona ulivyokuwa mstari wa mbele kuwasaidia watoto wa ajari Arusha na tunaamini unawapenda watanzania wote. Sasa huko Kagera leo watoto wadogo wamrlipukiwa na bomu na wanahitaji msaada wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Imenisikitisha kugundua baadhi ya watumishi wa uma wanashindia mlo mmoja tu, maisha yamekuwa magumu mnoo. Kwa utafiti wangu licha ya maslai(mishahara na posho) kuwa ndogo, pia tabia ya watumishi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeona ile clip ya Waziri Prof. Makame Mbalawa akijibu maswali ya Rais Dr. Magufuli wilayani Karagwe. Nimesikitika sana kuona viongozi waliopewa dhamana na kuaminika wamekuwa wakifanya kazi...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Tume ya haki za binadamu na utawala bora nchini Tanzania (LHRC), imetamka kuwa ubomoaji wa nyumba za makazi na majengo ya biashara ili kupisha hifadhi ya reli haukuzingatia haki za binadamu na...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Tekinolojia imeahidi kutumia tafiti zinazofanywa na wanafunzi wazawa ili kugundua matatizo ya wananchi na njia za kuweza kuyatatua, anaandika Angel Willium. Serikali...
0 Reactions
3 Replies
792 Views
Tumekuwa tunapgwa danadana kuhusu uletaji wa kadi zingne kwa ajili ya mwendokasi Habari kutoka insider zinasema wakileta kadi wanakosa mapato ya watu wa MBEZI kwenda mjini kwa kuwa mtu akitumia...
9 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu za Wakati Tena.. Nikiwa Natimiza Miezi 8 Tangu Nimeamia Makao Makuu ya Nchi (Dodoma),Nimebaini Kuna Hujuma katika usomaji wa Meter kwa Wateja wengi.Last Month Nilikatiwa maji,Sijarudisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mchambuzi wa mpira wa miguu nchini Tanzania, Edo Kumwembe amesema kwenye ukurasa wake wa FB kuwa wezi wamevunja dirisha la nyumbani kwake mbezi usiku wa kuamkia leo Novemba 7 kisha kuiba seti ya...
21 Reactions
207 Replies
32K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…