Serikali imesema baadhi ya vifaa tiba vya matibabu ya mionzi vitaanza kuzalishwa nchini baada ya kuingia makubaliano ya ushirikiano na Kampuni New Soft ya China.
Baadhi ya vifaa hivyo ni...
"Eti, ikitokea watu wawili wamefunga ndoa ya KIKRISTO pindi wakiwa wakristo, halafu baada ya muda wote wawili wakaamua kuslimu na kuwa waislamu. Je watafunga tena ndoa ya kiislamu?
Darasa huru...
Awamu tano iliingia madarakani kwa kufanya maamuzi makubwa mwanzoni na kuonyesha muelekeo wa nchi kiutendaji na kimaamuzi na watumishi wengi waliona kuwa uongozi huu unaweza kuwa mkombozi mkubwa...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wananchi wasikubali kupatiwa huduma na mtu wanayemtilia shaka.
Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi ya TRA makao makuu imetoa taarifa hiyo kwa umma...
Wadau niwatakieni kheri ya Jumapili,
Naamini wengi mmesoma habari za yule jemedari mkuu aliyepata sifa kubwa za uhodari na ujasiri na aliyeongoza jeshi kubwa sana miaka hiyo.
Kwa bahati mbaya...
Watu wanne wamedaiwa kufariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya magari mawili Toyota Noah na Lori la maji kugongana katika maeneo ya Kikafu, Sadala mkoani Kilimanjaro.
Ajali hiyo mbaya...
Salaam
Kwa utafiti nilioufanya leo asubuhi,inaonesha jukwaa la utambulisho/intro forum,watu jinsia ya kike wanapata mapokezi makubwa na ya kipekee kuliko watu wa jinsia kama yangu.
Tuache ubaguzi...
Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro kwa kushirikiana na Maafisa wa Uhifadhi wa Wanyamapori wamefanikiwa kumkamata jangili akiwa na meno ya Tembo 5 yenye thamani ya MIL 100 na mshitakiwa yuko kituo cha...
Naona kadri siku zinavokwendwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam anapata sifa nyingi sana kutoka kwa watu mbali mbali hasa Rais wa nchi, lakini ukiangalia kiuhalisia sifa anazipata nyingi zinatokana...
Habari ya wakati huu wakuu.
Kwa wale wahasibu na wakaguzi wa mahesabu ya serikali mnaweza kua mnajua hili.
Zamani bodi ya wahasibu na wakaguzi ilikua inamtaala wa masomo 6 kwa wale waliokua na...
Muda sio rafiki wa binadamu hata siku moja Mwenyeezimungu alituumba sisi tuishi kwa wema bila kutendeana maovu,tuheshimiane ili kuweza kutekeleza malengo yetu ya kuumbwa hapa Duniani. Kuanzia...
Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe, Mkoani Njombe, Ally Kasinge ameagiza kushikiliwa kwa Makamu Mkuu wa shule ya sekondari Wanike, iliyopo katika wilaya hiyo baada ya kukamatwa akifanya mapenzi na...
Sijaona sababu za msingi za kuwa na utitiri wa bodi na mawakala wa barabara ilihali kazi wanazofanya ni zile zile. Kazi ya Roads fund board na kazi za Tanzania Rural Roads Agency (TARURA) zote...
Habari wanajamvi,nimepata ziara ya kikazi kwenda Moshi mjini.
Naomba kufahamishwa sehemu nzuri kwa ajili ya malazi(budget tsh 25-50),pia sehemu nzuri kwa kujirusha (night life),pia sehemu nzuri...
Wakuu Salama!
Mwanzoni nilikuwa natumia Airtel lakini kwa shida sana kutokana na kasi yake ndogo hapa nilipo(Iringa Mjini) , lakini nikaja kuiweka pembeni nikahamia Halotel .
Juzi katika...
MIE nilikuwa rudn kuanzia 2008 namkumbuka yule rector Slava katika African section. Karibuni hapa tufahamiane na tujikumbushie out good times at Moscow and Sankt Petersburg
Sent using Jamii...