Kilimanjaro: Watu 4 wafariki baada ya gari aina ya Toyota Noah kugongana na Lori


Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
17,666
Likes
51,824
Points
280
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
17,666 51,824 280
6300082b6566da858f0316774461cd03.jpg
f65c0edef71f14c6af9c14e897aa8ec0.jpg
95d7d1ba46b5d67d022237fc1417686f.jpg
Watu wanne wamedaiwa kufariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya magari mawili Toyota Noah na Lori la maji kugongana katika maeneo ya Kikafu, Sadala mkoani Kilimanjaro.

Ajali hiyo mbaya inadaiwa kutokea mchana wa leo ambayo imesababishwa na Lori hilo lililokuwa likijaribu kulipita gari la mbele, na kisha kukutana uso kwa uso na gari hilo ndogo iliyokuwa imebeba abiria ikitokea mjini Moshi ikielekea Sanya Juu.
 
Chris14

Chris14

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2017
Messages
3,139
Likes
2,125
Points
280
Chris14

Chris14

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2017
3,139 2,125 280
Duh! Ajali imetokea muda gani? Pia unaweza tupia picha mkuu?
 
R

Roy kimei

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Messages
422
Likes
256
Points
80
R

Roy kimei

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2017
422 256 80
Poleni kwa msiba, Mungu na awape faraja wakati huu mgumu
 
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
17,666
Likes
51,824
Points
280
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
17,666 51,824 280
Dah. Poleni waathiriwa wote wa mkasa huo wa ajali mbaya.. Na majeruhi wapone haraka
 
charty

charty

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Messages
7,161
Likes
3,112
Points
280
Age
27
charty

charty

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2013
7,161 3,112 280
Jamani ndo mwisho wa mwaka huu na uzembe wa madereva wanatumalizia ndugu zetu so sad
 
elibarikimollel310

elibarikimollel310

Senior Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
141
Likes
101
Points
60
elibarikimollel310

elibarikimollel310

Senior Member
Joined Oct 9, 2017
141 101 60
Wakuu me nimepita apo mda huu ni kweli ila bdo idadi ya waliokufa haijafahamika vizuri
 

Forum statistics

Threads 1,237,549
Members 475,552
Posts 29,292,880