Morogoro: Jangili akamatwa akiwa na meno ya Tembo


Donatila

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Messages
3,092
Likes
4,071
Points
280
Age
28
Donatila

Donatila

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2014
3,092 4,071 280
2%2B%25281%2529.jpg

Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro kwa kushirikiana na Maafisa wa Uhifadhi wa Wanyamapori wamefanikiwa kumkamata jangili akiwa na meno ya Tembo 5 yenye thamani ya MIL 100 na mshitakiwa yuko kituo cha Polisi morogoro.

Taarifa kutoka kwa jeshi la Polisi morogoro mshtakiwa anategemea kufikishwa mahakamani. Aidha, Afisa Habari wa Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania – TAWA Bw. Twaha Twaibu ameeleza kuwa walipata taarifa kutoka kwa raia wema juu ya kuwepo kwa jangili huyo wa meno na kutuma maafisa wanyamapori kutoka Makao Makuu ya TAWA wakishirikiana na jeshi la Polisi na kuweza kumkamata jangili huyo.

Nae Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Ulrich Matei akiongelea tukio hilo, amethibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo aliejulikana kwa jina la Nehemiah Nashon akiwa katika chumba namba 104 cha Hoteli ya BZ iliyopo maeneo ya Nane-nane Mjini Morogoro, na kwamba vipande hivyo vina thamani ya zaidi ya shilingi Mil. 100.


Muungwana
 
Jerrymsigwa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
13,983
Likes
4,432
Points
280
Jerrymsigwa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
13,983 4,432 280
Huyo ndio bs tena
 
S

Sumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
6,719
Likes
4,089
Points
280
S

Sumu

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
6,719 4,089 280
Rangi yake ya ngozi inasadifu matendo yake.

Aandae “kiboga” chake.
 
BarTender

BarTender

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2016
Messages
439
Likes
303
Points
80
BarTender

BarTender

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2016
439 303 80
Angolewe meno yote kisha apewe uji wa moto anywe. Ajisikie ukatili aufanyao unaumaje
 
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
13,957
Likes
13,898
Points
280
Age
21
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
13,957 13,898 280
Huyo ndo mwanaume sasa anapiga madili makubwa makubwa
 

Forum statistics

Threads 1,237,204
Members 475,501
Posts 29,281,340