Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Wadau niwatakieni kheri ya Jumapili,
Naamini wengi mmesoma habari za yule jemedari mkuu aliyepata sifa kubwa za uhodari na ujasiri na aliyeongoza jeshi kubwa sana miaka hiyo.
Kwa bahati mbaya jemedari huyo naamani alikuwa mkoma, ugonjwa uliomsumbua kwa muda mrefu.
Hata hivyo kwa bahati nzuri aliweza kuponywa maradhi yake kupitia kwa mtu wa Mungu Nabii Elisha kwa kujizamisha Mara saba ndani ya Mto Jordan.
Tunasoma kuwa jemedari naamani alijaribu kumpatia zawadi Nabii Elisha Mara tu baada ya kupokea uponyaji lakini Nabii Elisha alikataa kwa kumjibu kama ifuayavyo; '' Kama Bwana aishivyo ambaye nimesimama Mbele yake sipokei kitu.Akamshurutisha apokee lakini akakataa'' 2 Wafalme: 15-16
Nimeleta fungu ili kupata kujua kwanini Nabii Elisha alikataa katakata kupokea zawadi yoyote ile kutoka kwa jemedari naamani.
Karibuni na mzidi kubarikiwa